Kwa tunaofuatilia mpira wa Africa ndiyo tunajua kuwa Jwaneng Galaxy ndiyo timu Bora kwenye hatua ya pili ya mashindano ya CAF

Kwa tunaofuatilia mpira wa Africa ndiyo tunajua kuwa Jwaneng Galaxy ndiyo timu Bora kwenye hatua ya pili ya mashindano ya CAF

Jwaneng amelifanya kundi lisiwe na mwenyewe..
Angalia kundi la wenzetu,al ahly kashinda 3-0,belozuidad kashinda 3-0 hii inafanya kundi Lao liwe na wababe
Hakika, kaneutralize hali ya mambo kwenye kundi lao, leo hii eti Wydad ni wa mwisho.... hahahaaaa! Ila ni mwanzo.. wenyewe wataonekana vema, kadri michezo inavyozidi kuendelea.
 
Hakika,kaneutralize hali ya mambo kwenye kundi lao,leo hii eti Wydad ni wa mwisho.... hahahaaaa! ila ni mwanzo.. wenyewe wataonekana vema,kadri michezo insvyozidi kuendelea.
Tarehe 2 ni dhidi ya Simba, wakizihitaji tatu zingine za nyumbani.
 
Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo.

Wydad, asec na Jwaneng Galaxy.

"Eti tunapiga Jwaneng Galaxy nje ndani tunachukua point za kutosha"

labda niwape taaarifa tu huyu Jwaneng Galaxy ndiyo kamtoa Orlando pirates ileee ya south Africa ambako Ayub Fc walikwenda kuchoma uwanja Lakini wakatoka kapa.

Mbumbumbu Kama Rage alivyowaita wasiojua mpira wanadhani Hili kundi Lina Vibonde vipers na Horoya.

Safari hii hakuna ndondokela weka mpira uwanjani uoneshe ukubwa wako.

Kama kumfunga power dynamo haeleweki ulimfunga vipi leo uje kufua dafu kwenye timu zinazojielewa??

Kila la heri Ayub Fc.
Simba itatinga robo fainali ya Cacl, subiri utaona.
 
HIVI UNAAKILI TIMAMU KWELI.?????

UNAJIDHALILISHA SANA KAKA.

Unaushabiki WA Kijinga na WA KITOTO sana.

Ningekushauri ukazanie sana Kusoma kwa LENGO la kupunguza UJINGA.

HAWA NI WATU WAPUMBAVU ZAIDI JAMII FORUM
GENARA.

GE.......
NA........
LA.............
Dah!
 
Simba huwa wanamtindo wa kwenda kumubomoa mpinzani mmojawapo kwa kumtwaa kocha. Hiyo huyo kocha wa Galaxy ajiandae kutua msimbazi. Robertinho anaondoka baada ya mechi na Al Ahly
SAWA JUMAMOSI SIYO MBALI.
 
HIVI UNAAKILI TIMAMU KWELI.?????

UNAJIDHALILISHA SANA KAKA.

Unaushabiki WA Kijinga na WA KITOTO sana.

Ningekushauri ukazanie sana Kusoma kwa LENGO la kupunguza UJINGA.

HAWA NI WATU WAPUMBAVU ZAIDI JAMII FORUM
GENARA.

GE.......
NA........
LA.............
HAKUNA SHIDA SUBIRI JUMAMOSI UONE KITAKACHO WAKUTA.
 
Back
Top Bottom