Maana yake umemaliza deni mkuuBaada ya tangazo la kuondoa retention fee na tuseme tu haya ndio matokeo ya Rais mpya halafu eti wananchi wanalalamika yule ameondoka wanateseka kumbe Kuna walioibiwa miaka na miaka.
Wajuzi wa haya mambo, unayo hiyo statement na unaendelea kukatwa Deni. Ina maana ipi.