Kwa tunaokatwa deni HESLB, ujumbe wa "It seemed you have requidated loan" una maana gani?

Maana yake umemaliza deni mkuu
 
Sio requidated ni liquidated
Maana yake inaonekana umelipa deni lako
 
Lakin niulze wadau kwanini Heslb hawataki kabisa kuondosha value retention fee?shida ni nin?
Mimi sijamalizana nao nitarudi pale nikawashe moto bado nakusanya ushahidi kuna document natakiwa kuwa nazo
 
Lakin niulze wadau kwanini Heslb hawataki kabisa kuondosha value retention fee?shida ni nin?
Nilichukua statement mwezi wa 6 mwishoni kabla ya mshahara ofisini kwao nikaihifadhi. Mshahara ulipotoka wakanikata laki 1.8
Jana nimeangalia online deni limepungua kwa elfu 90. Nikajiuliza ile laki 1.8 waliyonikata mwezi June inamaana elfu 90 wepeleka wapi?
Kuna wizi mkubwa pale
 
Liquidation kwenye mikataba ni kuchelewesha makubaliano baina ya wawili mfano unasaini mkataba wa kazi kufanya kwa siku mia, unachelewesha kazi kwahiyo boss atakukata malipo kila siku kufidishia huduma ya kibiashara aliyotegemea kuanza kuingiza baadaa kazi yake kukamilika.
Pengine wamemaanisha umechelewa kuanza kurejesha mkopo wao kwahiyo wataongeza kiasi fulani kufidishia.​
 
"It seemed"? WTF is that? British understatement?

Do they know what they are doing?

Maneno "It seemed" ni maneno ya mtu ambaye hana uhakika, wana uhakika na wanachoandika?
 
"It seemed"? WTF is that? British understatement?

Do they know what they are doing?

Maneno "It seemed" ni maneno ya mtu ambaye hana uhakika, wana uhakika na wanachoandika?
Kiranga umeibukia wapi Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…