Kwa Tungo Hii Ya Kiingereza Je Yuko Sahihi?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Hii ni Sentensi Ya Mwanafunzi Wa Darasa la tano Baada ya kuambiwa Tunga Sentensi kwa Kutumia Neno "Under"...

"The Boy Is Under the Girl" je ungekua mwalimu huyu Mwanafunzi yuko Sahihi kwa Sentesi yake hii?
 
L

Could be correct but inappropriate.
 
Back
Top Bottom