The suspender
Senior Member
- Sep 1, 2020
- 128
- 138
Tunawaeleza wa TZ wajua,Hofu hatuna na nyie coz hamna lolote zaidi ya kubwatuka majukwaani bila kutoa sera za kuwasaidia watanzaniaUmetumia nguvu nyingi kuandika kupinga chama ambacho ruzuku yake haifiki Hata Milion 300 kwa mwezi, vs chama ambacho kina serikali
Maneno yote hayo unaongelea chama ambacho kwa miaka 5 kipo gizani, kimya kabisa vs chama ambacho kwa miaka 5 kinaongea tu sera zake
Mpaka hapo means ccm mna hofu kubwa sana na chama ambacho mbele za watu mnakiita dhaifu