The suspender
Senior Member
- Sep 1, 2020
- 128
- 138
Tunawaeleza wa TZ wajua,Hofu hatuna na nyie coz hamna lolote zaidi ya kubwatuka majukwaani bila kutoa sera za kuwasaidia watanzaniaUmetumia nguvu nyingi kuandika kupinga chama ambacho ruzuku yake haifiki Hata Milion 300 kwa mwezi, vs chama ambacho kina serikali
Maneno yote hayo unaongelea chama ambacho kwa miaka 5 kipo gizani, kimya kabisa vs chama ambacho kwa miaka 5 kinaongea tu sera zake
Mpaka hapo means ccm mna hofu kubwa sana na chama ambacho mbele za watu mnakiita dhaifu
Wanapokea Ruzuku,
Wanachangisha wabunge kila mwezi,
Wanachangisha wananchi kwenye mikutano yao,
Wanaomba fedha toka kwa mabeberu.
Lakini bado hawana hata makao makuu yao.
Ofisi za Kanda zipo hoi.
Chadema kuna mashine ya kutafuna fedha,
Pale kuna ubadhirifu mkubwa sana ndio maana uongozi wa juu ni watu wale wale kwa muda mrefu ili kuficha madudu yao, mtu nje ya mtandao wao hawezi kuwa sehemu ya uongozi.
Chama kimejaa ufisadi.
Wahuni kabisa hawaYaani ukiwaangalia tu unasema hapa tunaenda kupigwa.
Sasa kama pesa ndogo mnaipiga mkipewa nchi si mtauza hadi Majani na miti nyieRuzuku hata Milion Mia Tatu haifiki je ungejua Ruzuku ya ccm si ungezimia?
Hata ccm wanachangisha wabunge wao I think ww ni mgeni kwenye mambo ya siasa
Tunawaeleza wa TZ wajua,Hofu hatuna na nyie coz hamna lolote zaidi ya kubwatuka majukwaani bila kutoa sera za kuwasaidia watanzania
Hiyo milioni miatatu kwani kidogo??Ruzuku hata Milion Mia Tatu haifiki je ungejua Ruzuku ya ccm si ungezimia?
Hata ccm wanachangisha wabunge wao I think ww ni mgeni kwenye mambo ya siasa
Ukaona na ww uunge mkono Juhudi etyMbna kila mara porojo ni zilezile
Sasa kama pesa ndogo mnaipiga mkipewa nchi si mtauza hadi Majani na miti nyie
Mabilion wanayopokea ccm umewahi kujiuliza?Hiyo milioni miatatu kwani kidogo??
Wale mabeberu wa Lissu wa Amsterdam akina Robert ndio tunaowazungumziaMabepari gani hao hao unaoenda kwao kukopa na kununua mitambo ya kutengenezea miundombinu?
Hiyo milioni miatatu kwani kidogo??
Ndio unaweza fanya yote hayo.Unaweza kununua magari, kujenga, kuimarisha chama, kulipa mishahara na mafuta, kulipa pango za office mikoani kwa Milion Mia Tatu kwa mwez?
Kwanza una miaka mingap? Nisije kuwa nabishana na under 18 tangu umezaliwa hata Milion 100 ujawahi kuwa nayo
Hiyo milioni miatatu kwani kidogo??
Ndio unaweza fanya yote hayo.
Mara milioni 100 mara 50 hueleweki mkuu,Naomba kujua umri wako, naweza kuwa nabishana na under 18 ambae ujawahi hata kushika Milion 50 yako mwenyewe
Tutakuitaje mzalendo kama unahujumu nchiMmeambukizana ujinga uko kwaiyo ukiwa CCM tu ndiyo MZALENDO?
futeni vyama vyote vya upinzani sasa mbaki pekeyenu wazalendo.
Nadhani wewe sasa ndio unadhihirisha kwamba na ww ni mbulula,maneno mengi yasiyo na Maana ,Uongo unaosema wewe ni upi?Ccm mmewaambukiza yanga(samahani kwa washabiki wa yanga huu ndo ukweli) mambo ya propaganda za kijinga.....
Yani hamuwezi kupambana na hoja za chadema(upinzani) hadi mtie uongo ndivyo ilivyo kwa yanga ya sasa(ili jilinganishe na simba inatia fitna na maneno ya uongo tu)
Niwaambie tu nyie ccm... kwa nyakati hizi watu wengi wameanza kupata mwanga kiakili... unaweza kumpata na ujinga wenu kwa muda mchache ila akikutana na mwenye hoja... anabadili mawazo chap kwa haraka...
Jitahidini kutumia hoja zenye mashiko... uongo na uzushi unazidi kuwadidimiza na mnaonekana mamburula.... mnawaangusha watu smart walio katika chama chenu kwani nao inawabidi wawe waongo ili mambo yaende sawa.
Acheni izo mambo bhana.