Uchaguzi 2020 Kwa ubabaishaji huu wa CHADEMA hawapaswi kupewa madaraka

Upotoshaji uongo uliopitiza na kupuuza hata visivyopuuzika ni dhambi kubwa ambayo haiwezi kuwaacha salama hawa CHADEMA
 
Mtaongea propaganda zote mwaka huu.ila nakukumbusha tu kua ccm ni chama kikongwe kinachosubiri kifo cha asili na hapo kilipo hakina zaidi ya miaka 20 kitakua kibogoyo na vyama vya upinzani ni sawa na kijana anayebalehe kwahiyo vitakuepo zaidi ya miaka 50 ijayo.
 
CHADEMA hawawezi kuongoza nchi, tunawafahamu vema hawawezi kabisa. CHADEMA imepoteza mwelekeo
 
Mlisema Cdm imekufa . Lakini naona mnahangaika kutoa posts nyingi nyingi kuhusu Cdm kulikoni ?!.

Hesabu za Cdm waulize
1. CAG
2. Takukuru
Hao watakupa majibu
Jaduong kuwa mkweli, Cdm ya mwaka 2010-2015 kabla ya Dr Slaa kuondoka unaweza kuilinganisha na hii? Acha mahaba ya kisiasa.
 
Hawana mpango wa kujenga ofisi maana wamejihakikishia kuchukua nchi wanajua watataifisha majengo ya CCM [emoji3][emoji3][emoji3] akili yao wanaijua wenyewe
 
Huna hoja, kwa taarifa yako tu.
300,000,000x12x5=18,000,000,000

Na ww huna hoja,
Kuna magari Mia kila Gari moja ni Milion 80

Kuna office mikoa yote na wilaya zote weka rent hapo

Kuna wafanyakazi ambao wanafanya kazi kila siku weka salary hapo,

Kuna kukodi conference hall kwa mikutano Kuna safari, Kuna mafuta ya magari Kuna services za magari

Bado bendera za chama na vitu vingine vya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…