Kwa ubabe aliomfanyia mchina: Pelosi avalishwa medali ya heshima ya ujasiri na ushujaa!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
1659500011606.png

Pelosi receives medal of honor​

Taiwanese leader praised the US House Speaker for her stalwart support of the island.
“The speaker’s courage and actions are deeply inspiring and touching,” Tsai said, according to the South China Morning Post, as she presented Pelosi with one of the highest-rank civilian awards – the Order of Propitious Clouds with Special Grand Cordon – for her firm stance in “safeguarding freedom, democracy and human rights.”

Accepting the award, Pelosi said that Washington “will not abandon our commitment to Taiwan,” while praising Tsai as a role-model “woman president in one of the freest societies in the world.”

In turn, Tsai vowed to remain a reliable US partner and to “firmly uphold our nation’s sovereignty and continue to hold the line of defense for democracy at the same time.”

Je ni kweli anastahili kuitwa shujaa au anastahili kuitwa tu mchokozi?
 
Pelosi Kawa gumuzo sana. Apewe tu, ni jasiri sana

Alimsumbua sana Trump. Na kimsingi huyu ndio chanzo mojaqapo cha Trump kutemwa pale U.S na Biden kuingia Whitehouse.

Alimzingua sana Trump kwenye ujenzi wa Ukuta kule mpakani mwa mexco.
 
Huyu mama angekuwa ndio Rais huenda Putin asingeleta upuuzi wake kwa Ukraine
Naona huyu mama huenda ana mpango wa kugombea urais wa Marekani. Ila tatizo ni kuwa Pelosi akiwa rais wa marekani, atamwaga damu sana na huenda akasababisha vita kuu ya tatu ya dunia!! Hakuogopa mkwara wa mchina. Muda huu wachina wanafanya mazoezi kuzuingukia kisiwa cha Taiwan baharini na angani!! Kimama chenyewe wala hakijali !

1659507278012.png

1659507807139.png

Wachina hao usiku kucha wamezunguka kisiwa cha Taiwan wakifanya mazoezi ya kivita huku Pelosi akiwa ndani ya blanketi akiuchapa usingizi wake bila hofu yoyote!! Wachina wakiwa na bendera zao za Taifa wakimsagia meno Pelosi!

Nahuko angani Taiwan pia inazungukwa na ndege za kivita za china kama hivi:

1659508277385.png
 
Ili tuende mbele na kurudi nyuma!! Woga wa mchina umeepusha maafa makubwa sana!! Waswahili husema "kwa mwoga huenda kicheko, kwa shujaa huenda kilio". Marekani isingevumilia ndege ya spika wake itunguliwe!! Saa hii dunia ingekuwa inaongea kitu kingine!
 
Huyu mama angekuwa ndio Rais huenda Putin asingeleta upuuzi wake kwa Ukraine
bado anaweza akawashawishi wabunge yeye si ndio speaker afanye ivyo aone USA wenyewe wanamjua putin ni kiumbe gani yule jamaa atanii muulize trump na obama syria walivyofanya yani ilifikia hatua US akitaka kupiga bomu syria anaomba ruhusa Russia putin anamtip Assad anahamisha wanajeshi wake wanapiga maghala matupu then wanakuja kwenye media zao wanasema tumeipiga Russia mfano mzuri ni apo ukraine Boris,macron na olaf walivyotembelea kiev waliwasiliana direct na Russia then wakaingia
 
Naona huyu mama huenda ana mpango wa kugombea urais wa Marekani. Ila tatizo ni kuwa Pelosi akiwa rais wa marekani, atamwaga damu sana na huenda akasababisha vita kuu ya tatu ya dunia!! Hakuogopa mkwara wa mchina. Muda huu wachina wanafanya mazoezi kuzuingukia kisiwa cha Taiwan baharini na angani!! Kimama chenyewe wala hakijali !

View attachment 2312662

View attachment 2312665

Wachina hao usiku kucha wamezunguka kisiwa cha Taiwan wakifanya mazoezi ya kivita huku Pelosi akiwa ndani ya blanketi akiuchapa usingizi wake bila hofu yoyote!! Wachina wakiwa na bendera zao za Taifa wakimsagia meno Pelosi!
Umri wake sasa
 
uyo pelosi alikuwa ana asilimia zaidi ya 500% kuwa china awawezi kumfanya chochote kungekuwa kunatishio na inteligence yao ingekuwa na uhakika japo 30% tu ya kuweza kushambuliwa asingekanyaga apo Taiwan
 
Naona huyu mama huenda ana mpango wa kugombea urais wa Marekani. Ila tatizo ni kuwa Pelosi akiwa rais wa marekani, atamwaga damu sana na huenda akasababisha vita kuu ya tatu ya dunia!! Hakuogopa mkwara wa mchina. Muda huu wachina wanafanya mazoezi kuzuingukia kisiwa cha Taiwan baharini na angani!! Kimama chenyewe wala hakijali !

View attachment 2312662

View attachment 2312665

Wachina hao usiku kucha wamezunguka kisiwa cha Taiwan wakifanya mazoezi ya kivita huku Pelosi akiwa ndani ya blanketi akiuchapa usingizi wake bila hofu yoyote!! Wachina wakiwa na bendera zao za Taifa wakimsagia meno Pelosi!
Wachina wanaungana na Kiduku, mbwembwe nyingi, zero action. Hakuna anaezuiwa kufanya mazoezi. Hata bongo pale morogoro kuna kipindi wanafanya mazoezi sana na ndege zao.
Wanasema ngoja inyeshe tuone panapovuja. Vitisho vya Russia kwa Ukraine ndivyo tunavyovishughudia China.
Lakini pia US ni mjanja sana, anawasababishia Russia na China wahangaike ili yeye aendelee kujijenga.
 
Back
Top Bottom