Kwa ubabe aliomfanyia mchina: Pelosi avalishwa medali ya heshima ya ujasiri na ushujaa!

Ila kwa Mrusi, marekani imekwama!! Imeweka vikwazo vya kiuchumi kwa kudhani urusi itaishiwa pumzi lakini wapi!! vikwazo vinazidi kuwaumiza walioviweka! Jana Zelensky amelia lia sana kubembeleza aongezewe silaha maana urusi kaigeuza Donbass kama jehanamu kwa maneno ya Zelensky mwenyewe. Anasem,a wameshindwa kabisa kuuzima moto wa Urusi!!
 
Anastahili kuitwa bib betina wa USA
 

Speaker Nancy Pelosi, centre, speaks next to Taiwan President Tsai Ing-wen and American Institute in Taiwan Director Sandra Oudkirk during a meeting at the presidential office in Taipei, Taiwan August 3, 2022 [Taiwan Presidential Office/Handout via Reuters]

Mama mbabe Pelosi anaiambia China haina ubavu wa kuzuia watu marafiki kuitembelea Taiwan!!

Pelosi also said the US wants Taiwan to have freedom with security and will not back away from that. She added that while China has “stood in the way of Taiwan participating in and going to certain meetings”, it should understand that it cannot stand in the way of “people coming to Taiwan as a show of friendship”.
 
Maneno yaliyonenwa na rais wa China "Don't play with FIRE" yamejibiwa na Marekani na "DARE to bring that plane down then you shall SEE"
Wote tumejionea bibi Pelosi katua vizuri Taiwan na tabasamu pana usoni mwake.
 
Mchambuzi was urusi Toka mchambawima [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
China ingeamua kukomaa na biashara tu!! Iachane na Taiwan kwani Taiwan ni nini bwana!! Iachane na mikwara hewa ambayo inailetea aibu tuu!! Kuunguruma kwingi kumbe hakuna hata jino moja!! Iamue kuwa ka,ma Switzerland!! Mambo ya kutunisha misuli amwachie Kiduku na Putin!!
 
Acha wafanye mazoezi tu, China kupambana na US bado sana.
 

Hiki ni Kisiwa cha Taiwan, na hivyo viboksi ni maeneo ambayo China anafanya mazoezi ya kijeshi! Je. Pelosi kawekwa chini ya ulinzi?( Jokes)
 
Pelosi Kawa gumuzo sana. Apewe tu, ni jasiri sana

Alimsumbua sana Trump. Na kimsingi huyu ndio chanzo mojaqapo cha Trump kutemwa pale U.S na Biden kuingia Whitehouse.

Alimzingua sana Trump kwenye ujenzi wa Ukuta kule mpakani mwa mexco.
Ukute hapo ni bonge la dhaifu kwa mwenye mali (Mume), au pengine Alisharatibiwa kimipango kuwa chanzo cha vita baina ya USA na CHINA ili uchumi wa CHINA uzorote tokana na kasi ya CHINA kuja juu sana kiuchumi kipindi hiki.
 
Ni mapema sana kusema Biden amesanda pale. Putin ni wa kawaida tu mbele ya US. Mimi kwa China sishangai sababu sijawahi kufikiria Mchina anaweza akamzingua Boss wake Marekani.
Sawa wacha tusubiri tuone.
 
View attachment 2312698
Hiki ni Kisiwa cha Taiwan, na hivyo viboksi ni maeneo ambayo China anafanya mazoezi ya kijeshi! Je. Pelosi kawekwa chini ya ulinzi?( Jokes)
Taiwan keshaanza kulalamika kuwa amezingirwa na majeshi ya China angani na baharini!!
Mimi nadhani anachokifanya China ni sawa na mbwa kubweka nje ya nyumba wakati alimruhusu mwizi kuingia ndani ya nyumba na kufanya vitu vyake! Kama alishindwa kumzuia kuingia Taiwan hawezi kumzuia kutoka na kurudi marekani kwa mbwembwe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…