Kwa ubahili wa nchi za Ulaya, Zelensky atarudi kwa aibu White House kupiga magoti na kuomba msamaha

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Huko kwa nchi za ulaya anakosema anaenda kutafuta sapoti labda ni faraja tu lakini kwenye suala la pesa na vifaa atazungushwa sana.

Kwenye umoja wa ulinzi wa nchi za ulaya na Marekani, ni Marekani ndie anaachangia zaidi kuliko nchi zote za NATO, bila Marekani NATO inayumba

Marekani inatoa misaada zaidi kwenye mashirika ya umoja wa matafia mfano shirika la afya, wote tumeona mchango wa Marekani pale alipotaka kuondoka kulikuwa na kelele dunia nzima wakati shirika hilo lina nchi zaidi ya 190.

Hizo nchi za ulaya hata zijikusanye hawawezi kumudu kumpa Zelensky msaada wa Dola bilioni 30 bure kama msaada (Theluthi ya msaada uliotolewa na Marekani kwa Ukraine)

Mwisho wa yote haya Zelensky atarudi white house kwa iabu kuomba msamaha kusaini mkataba wa amani
 
NATO inayumba
20230411_222939.jpg
 
Mbona karudi kwa Trump

View: https://www.instagram.com/p/DGul_5Cs768/?igsh=bTdsZGt6Y3BlMGVm
 
US na EU ni wamoja! Kilichofanyika ni kama baba (US) kumzaba kibao mtoto harafu anaenda kubembelezwa na mama (EU) tena kwa peremende (loan).
Mwisho Mama anamwambia rudi tena kwa baba ukamsikilize.
Hayo majamaa yanamwona Zelensky ni mtoto tu.
 
Sio kwa Ubahili wa nchi za Ulaya, bali Eastern European wote ni zaidi ya waafrika kwa kujikomba na kuomba omba
Hawana aibu kabisa na sasa Zele anaenda tena US kuomba
 
Huko kwa nchi za ulaya anakosema anaenda kutafuta sapoti labda ni faraja tu lakini kwenye suala la pesa na vifaa atazungushwa sana.

Kwenye umoja wa ulinzi wa nchi za ulaya na Marekani, ni Marekani ndie anaachangia zaidi kuliko nchi zote za NATO, bila Marekani NATO inayumba

Marekani inatoa misaada zaidi kwenye mashirika ya umoja wa matafia mfano shirika la afya, wote tumeona mchango wa Marekani pale alipotaka kuondoka kulikuwa na kelele dunia nzima wakati shirika hilo lina nchi zaidi ya 190.

Hizo nchi za ulaya hata zijikusanye hawawezi kumudu kumpa Zelensky msaada wa Dola bilioni 30 bure kama msaada (Theluthi ya msaada uliotolewa na Marekani kwa Ukraine)

Mwisho wa yote haya Zelensky atarudi white house kwa iabu kuomba msamaha kusaini mkataba wa amani
Dogo huna data za kutosha. Kukusaidia tu kidogo, michango uliotolewa na Marekani kwa Ukraine in 18 US Bilioni pungufu ya kile kilichotolewa na nchi za Ulaya.
 
Sawa Nabii Joan Lewis lakini tunaomba ututabarie na mwisho wa ccm basi maanake majamaa yametuchosha ni balaa.
Mwisho wa hicho ulichotaja upo. Ila itachangiwa sana na WaTz kulipa gharama tatu.
Mosi: kuachana na unafiki,
Pili: kuachana na uoga
Tatu: Elimu (ya darasani) iwafikie wote Kuna namba kubwa sana ya watu haswa Kanda Fulani fulani ukifika kata / wilaya nzima waliofika Std VII ni wakumulika, haswa wale wenye miaka 30s na kupanda juu. Ndio mana utaona siasa na Danadana kwenye Hilo.

So unabii wako ulionitaka ni kama mizani nusu kwa waTZ na nusu kwa mfumo. (Bureaucrats)
 
Huko kwa nchi za ulaya anakosema anaenda kutafuta sapoti labda ni faraja tu lakini kwenye suala la pesa na vifaa atazungushwa sana.

Kwenye umoja wa ulinzi wa nchi za ulaya na Marekani, ni Marekani ndie anaachangia zaidi kuliko nchi zote za NATO, bila Marekani NATO inayumba

Marekani inatoa misaada zaidi kwenye mashirika ya umoja wa matafia mfano shirika la afya, wote tumeona mchango wa Marekani pale alipotaka kuondoka kulikuwa na kelele dunia nzima wakati shirika hilo lina nchi zaidi ya 190.

Hizo nchi za ulaya hata zijikusanye hawawezi kumudu kumpa Zelensky msaada wa Dola bilioni 30 bure kama msaada (Theluthi ya msaada uliotolewa na Marekani kwa Ukraine)

Mwisho wa yote haya Zelensky atarudi white house kwa iabu kuomba msamaha kusaini mkataba wa amani
Ulaya hawana hela ,they cant sustain it ,atarudi kwa magoti marekani, embu fikiria yale mahela ya usaid yalivyokuwa yanachezewa duniani kote na marekani alikuwa hata hashtuki,, ndio ujue jamaa ana mzigo kiasi gani
 
Back
Top Bottom