Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Thamani ya kikosi, ubora na ukubwa wa Wydad ilitegemewa Wydad wangepata ushindi mnono wa zaidi ya goli tatu lakini haikuwa hivyo.
Well done kwa Simba hakika wameonesha uwezo mbele ya Wydad AC bingwa mtetezi wa cafcl.
CAF kuichagua Simba kutoka ukanda wa SADC kuwemo kwenye michuano ya Super cup ulikuwa ni uchaguzi sahihi, hakika Simba wataleta ushindani unaotegemewa kwenye michuano hiyo ya timu bora nane zitakazochuana.
Kwa jitihada za benchi la ufundi, wachezaji,uongozi na mashabiki hakika hawana deni, kazi nzuri imefanyika na kwa Simba alipofikia haizuwii wanasimba kuvimba💪💪.
Kutolewa CAFCL sio mwisho wa Simba kucheza mechi za kimataifa,Super cup kituo kinachofuata.
"Super cup kazi iendelee"
Simba Nguvu moja.