Kwa ubunifu huu Platnumz ataendelea kutamba kwa miaka kadhaa ijayo

Sawa Mkuu Ubunifu mzuri wa DAYAMONDi hivyo ataendelea kutamba mpaka mwisho.
 
diamond ni tafsiri halisi ya mafanikio kwa vijana wengi.

tatizo lake kuna katabia analakaendekeza kwa kigezo cha ubinaadamu,USWAHILI.

kuna upupu anafanya wakati mwingine unaona daah,hii ilikuwa na ulazima kuifanya kweli!!!
naweza sema kitu kimoja anachozidiwa mond na the late MJ ni ile hali ya kutokuwa na kifua.

kile kijamaa kilikuwa na sura mbili,ya jukwaani na kukutania na watu,hapa ilikuwa lazima ujiulize,ni yule kichaa wa stage ninayeongea naye hapa au???

anyway ni ngumu kuzuia hisia za furaha ya kutoboa baada ya kusota sana.
 
Mia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Anajua kupambania kombe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…