Kwa ubunifu huu Platnumz ataendelea kutamba kwa miaka kadhaa ijayo

Kwani amewahi kumuona live zaidi ya kumuona kwenye Instagram,Tv na kumsikiliza kwenye redio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mtu usnichekeshe kwahyo huyu domokaya me nisimuone live kwa kipi?, bas nkupe taarifa nmeanza kumjua tangu anachezea maringi barabaran, poleeeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…