Kwa uchawa na umungu mtu tulio nao, Magufuli alitujenga au kutubomoa?

Kwa uchawa na umungu mtu tulio nao, Magufuli alitujenga au kutubomoa?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Japo alijenga vitu, Hayati John Pombe Magufuli alibomoa. Japo tunaweza kumlaumu Rais Samia kwa uchawa, kimsingi aliyeuumba ni Magufuli.

Ukiachia mbali kutupiga changa la mato kwa kudai alikuwa mtetezi wa wanyonge.

Je, hajatuachia unyonge uliozaa uchawa. Karibuni tujadili.
 
Back
Top Bottom