Japo alijenga vitu, Hayati John Pombe Magufuli alibomoa. Japo tunaweza kumlaumu Rais Samia kwa uchawa, kimsingi aliyeuumba ni Magufuli.
Ukiachia mbali kutupiga changa la mato kwa kudai alikuwa mtetezi wa wanyonge.
Je, hajatuachia unyonge uliozaa uchawa. Karibuni tujadili.