πππ huu umri mazee tayari ana appointment za kila mwezi kuchukua dawa za presha na sukari.Uchunguzi huu nimeufanya mara kadhaa Sasa nimejiridhisha kuwa mwanaume Huwa anabalehe Kwa mara ya pili akifika umri wa miaka 40
Katika umri huu mwanaume anakuwa kama teenager wa miaka 16
Utashangaa anafukuzia vibinti vya form 3 ila yeye hajali anaona ni kama age mate wake licha ya watu kumwona wa ajabu na kumwita majina ya fataki, kidumu cha petrol
Mwanaume katika umri huu humwona mkewe aliyemuoa kwenye ujana kama Mzee na huanza kumkimbia na kuwinda vibinti vidogo vya umri wake wa balehe ya mara ya pili.
Mwanaume katika umri huu 40+ huwaza kama kijana mdogo na damu Huwa moto.
Wanawake jaribu kutuelewa sisi wanaume
Hakika mkuuWengi mfukoni panakua pameshatulia umri huo na wengine washakubaliana na hali zao na wanakimbiza vibinti vidogo sababu demand zao sio kubwa sana,,,,,,we nenda tongoza mdada wa 28+ hapo hasa hawa wenye 30 wengi tayari wanakua na majukumu, kujiweka hapo unaweza ukatakiwa kulipia kodi ya nyumba au kama ana watoto kuna mambo ya ada na vitu vingine,,ukijipatia kabinti ka chuo hao sanasana ni kula bata tu au kama kapanga bas kachumba kakisela tu
Uko bar gani mkuu niku join tukamilishe hii researchUchunguzi huu nimeufanya mara kadhaa Sasa nimejiridhisha kuwa mwanaume Huwa anabalehe Kwa mara ya pili akifika umri wa miaka 40
Katika umri huu mwanaume anakuwa kama teenager wa miaka 16
Utashangaa anafukuzia vibinti vya form 3 ila yeye hajali anaona ni kama age mate wake licha ya watu kumwona wa ajabu na kumwita majina ya fataki, kidumu cha petrol
Mwanaume katika umri huu humwona mkewe aliyemuoa kwenye ujana kama Mzee na huanza kumkimbia na kuwinda vibinti vidogo vya umri wake wa balehe ya mara ya pili.
Mwanaume katika umri huu 40+ huwaza kama kijana mdogo na damu Huwa moto.
Wanawake jaribu kutuelewa sisi wanaume
Ukikaribia kufika nishtueUmri wa balehe sijafika
Niko nawaza ada za watoto
Yaani 40+ na dawa za pressure ameshaanza kumeza?πππ huu umri mazee tayari ana appointment za kila mwezi kuchukua dawa za presha na sukari.
Ana mashaka kama mashine inafanya kazi kisawa sawa anaona ajaribu ligi nyingine kuthibitisha
Na masharti ya chakula juu π denial tu inawafanya wameze dawa kwa kubipu. 50+ anapata stroke akili inakaa sawa πYaani 40+ na dawa za pressure ameshaanza kumeza?
Huwezi kuwa serious mkuu. At 40 mbona tupo sawa na maradhi ya pressure, diabetes nk bado sana. Games zetu ni za vishindo sana. Anachosema mleta mada kina kaukweli kiasi, japo sio wote wanaangukia kwa vibinti vidogo.Na masharti ya chakula juu π denial tu inawafanya wameze dawa kwa kubipu. 50+ anapata stroke akili inakaa sawa π
Kwa 40 bado sana,labda awe amerithi magonjwa au matatizo mengine,hapo labda Mwanamkeπππ huu umri mazee tayari ana appointment za kila mwezi kuchukua dawa za presha na sukari.
Ana mashaka kama mashine inafanya kazi kisawa sawa anaona ajaribu ligi nyingine kuthibitisha
Umepima? Wengi wanagundulika kwa bahati tu si kwamba amejiendea na dalili yoyote ya udhaifu wa mwiliHuwezi kuwa serious mkuu. At 40 mbona tupo sawa na maradhi ya pressure, diabetes nk bado sana. Games zetu ni za vishindo sana. Anachosema mleta mada kina kaukweli kiasi, japo sio wote wanaangukia kwa vibinti vidogo.