Kwa uchunguzi niliyofanya nimegundua mwanaume akifika miaka 40+ huwa anapata balehe tena!

Kwa uchunguzi niliyofanya nimegundua mwanaume akifika miaka 40+ huwa anapata balehe tena!

Mkuu kwa hiyo hii balehe inavyonisumbua hivii kuna part two tena?? 😔😔
 
Mkuu kwa hiyo hii balehe inavyonisumbua hivii kuna part two tena?? 😔😔
Part 2 ni ukiwa mstaafu mwenye pensheni. Aaah, lazima urudi kuwa kijana😂
 
Uchunguzi huu nimeufanya mara kadhaa sasa nimejiridhisha kuwa mwanaume huwa anabalehe kwa mara ya pili akifika umri wa miaka 40.

Katika umri huu mwanaume anakuwa kama teenager wa miaka 16. Utashangaa anafukuzia vibinti vidogo ila yeye hajali anaona ni kama age mate wake licha ya watu kumwona wa ajabu na kumwita majina ya fataki, kidumu cha petrol.

Mwanaume katika umri huu humwona mkewe aliyemuoa kwenye ujana kama Mzee na huanza kumkimbia na kuwinda vibinti vidogo vya umri wake wa balehe ya mara ya pili.

Mwanaume katika umri huu 40+ huwaza kama kijana mdogo na damu Huwa moto.

Wanawake jaribu kutuelewa sisi wanaume.
Nahisi kuna ukweli maana,dah
 
Back
Top Bottom