Kwa uchunguzi niliyofanya nimegundua mwanaume akifika miaka 40+ huwa anapata balehe tena!

Mkuu kwa hiyo hii balehe inavyonisumbua hivii kuna part two tena?? πŸ˜”πŸ˜”
 
Mkuu kwa hiyo hii balehe inavyonisumbua hivii kuna part two tena?? πŸ˜”πŸ˜”
Part 2 ni ukiwa mstaafu mwenye pensheni. Aaah, lazima urudi kuwa kijanaπŸ˜‚
 
Nahisi kuna ukweli maana,dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…