EstherSaid
Member
- Jun 3, 2024
- 38
- 84
Me naumia kuona watu waliosoma katika mazingira ya shida, ada za shida pia kwa sababu ya mazingira kutokuwa rafiki wanaishia kupata alama za kwenda diploma..mfano diploma ya ualimu.
Then anamaliza badala ya kupata ajira direct anapo apply anakwama kwa sababu mbali mbali...kwanza kupata ajira yenyew lazima utumie Tena pesa nyingi tu.
Ikiwemo pesa ya kupiga vyeti muhuri..kutuma maombi Kwa ajira portal na gharama zinginezo..juu ya hayo yooooote Bado watahitaji barua ya kujitolea Ili kuwa na vigezo vizuri vya kupata kazi hyoo.
Sasa jaman Kwa kwl kazini kwetu Kuna kazi pia 💔hii Hali inaumiza sanaa na pia apo unaweza ajira yenyewe usipate😂😂
Sasa hapa ukilima hata bangii Mungu si atakuelewa jamani😭