Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
Amka usingizini uliye lala Rais wa Tanzania na Amri jeshi na mwenyekiti wa chama tawala akashindwe uchaguzi na Raia mwema , utakuwa nchi nyingine , kama ni Tanzania amka usingiziniWatu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
Endelea KUOTO Boya weweWatu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Kama vipi nyie wanaccm msiokubaliana na huyu aliyeko madarakani, undeni chama cheni Cha upinzani mchukue nchi.Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
MKUU BILA TUME HURU YA UCHAGUZI CCM HAWAWEZI KUTOKA MADARAKANI NDO MAANA CCM HATA WAKIAMUA JIWE LIWE RAIS LINAKUAWatu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
Kwamba sera za lissu unaziamua wewe kuwa hii ni sera na hii sio sera, mabwabwa ya bashite jiandaen muda umewaishia.Wapinzani Gan Unazungumzia Hata Huyo Lissu Hana Sera Zaid Ya Kuongea Apate Ubwabwa,labda Ungeujaza Nyama Uzi Wako Tukuelewe
Acha uongo.......ccm haijawahi kuwa na Strong leader baada ya Nyerere.Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
Alafu wapinzani wakichukua nchi wewe chawa wa watawala wa ccm utaishi maisha gani?Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
Upinzani upo nyumbani kwako ambako unachezeshwa kwataHakuna upinzani Nchi hii, Mbowe yupo kusimamia maslahi ya Dola na CCM, Zitto yupo kusimamia maslahi ya Dola na ccm!.
CCM wataondoka madarakani endapo tu hivi vyama pinzani vitakuwa na watu wenye mioyo yenye udhati wakutetea Taif na sio matumbo, watu Kama Heche, Lissu, Mwambukusi,Mdude ndio wanaweza kuongoza watu kupata haki na uongozi thabiti. Ila sio Hawa kina mbowe na Zitto.
Duuu naona kakuchokoza mdini mkuuUsilolijuwa ni usiku wa kiza.
Kama uchaguzi uliopita walilipitisha jiweMKUU BILA TUME HURU YA UCHAGUZI CCM HAWAWEZI KUTOKA MADARAKANI NDO MAANA CCM HATA WAKIAMUA JIWE LIWE RAIS LINAKUA
Unaona ulivyo na akili za kupumliwa na mbowe?, Mnataka muwaseme wengine ila akisemwa mmeo wenu mashavu yanakuja juu.Upinzani upo nyumbani kwako ambako unachezeshwa kwata
Hata waliopo Sasa ni vichaa!, Kwahiyo unataka kusema mwiguli ana akili timamu?Nchi hii kamwe haiwezi kuongozwa na vichaa