Kurmodosla
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 330
- 202
Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
Sasa unalialia nini wewe Chawa?Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Hili la kuchapisha fomu moja ni janga na upotofu wa viongozi wetu wa Chama. Huu utaratibu ni mbaya kwani wako wengi enye sifa pia ni vyema wakalinganishwa kuweza kupata next badala ya kudhania mmoja pekee anaweza.Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
Kamanda usiyechoka nami naona fursa ya kushinda ipo. Tusiogoe Watanzania hebu tujaribu na wengine kwani Hawa waliopo wameota kiburiWatu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
upinzani ungekua na mtu mwenye hekima na busara kwenye nafasi hiyo sawa, ingekua ni fursa lakini kwa puppet ni kituko 🐒Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
KengeSasa unalialia nini wewe Chawa?
Inategemea huo udhaifu kwako ni upi hasa?Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
Vyama vingi kwa nchi nyingi za Afrika ni kama tumekurupuka tu, mapokeo yake ni tofauti na inavyopaswa kuwa, kwetu imekuwa ni sehemu ya kujipatia pesa za ruzuku lakini sio kwaajili ya kuleta changamoto kwenye chaguzi zetu, ndio maana huwa ni ngumu kukiondoa chama tawala kilichojiwekea mizizi kitambo kabla ya uhuru, kuna haja ya kuwa na vyama viwili vyenye nguvu ili kuleta changamoto haswaa kwenye chaguzi. Vyama 26 ni upuuuzi mtupu na vitakuwa vinasaidia tu chama tawala, ndio maana kuna muda wanaunda UKAWA walau kupata nguvu kubwa, lakini bado haitoshi kwakuwa hakuna misingi inayofanana baina ya wakuu wa vyama vilivyoungana. Kwahiyo chama tawala hata kisimamishe mtu gani kuna asilimia nyingi za kutoboaWatu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.