Kwa udhalilishaji wa kila mara wa gazeti la Mwanaspoti dhidi ya Simba SC, nashauri wana Simba tununue Championi tu

Kwa udhalilishaji wa kila mara wa gazeti la Mwanaspoti dhidi ya Simba SC, nashauri wana Simba tununue Championi tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nianze tu Kwanza kwa kutoa ONYO KALI kwa Wewe Mhariri Mkuu wa Gazeti la Michezo la 'Mwanaspoti' ambaye GENTAMYCINE nakujua ndani nje na ni mwana Yanga SC ' Kindakindaki ' kuwa usipoachana ' Kutudhalilisha ' Simba SC usije Kunilaumu.

Kichwa cha Habari cha 'Mwanaspoti' la Leo Jumatano tarehe 16 June, 2021 ni sehemu ya muendelezo wako ( wenu ) Gazeti hili la kuja na ' Stupid Headlines ' za Kuichafua na Kuidhalilisha Simba SC na mpaka unaona leo GENTAMYCINE nakuja na huu Uzi hapa jua Uvumilivu wangu Kwako umefika Kikomo.

Najua kuwa Wewe Mhariri na baadhi ya Waandishi wako wa hilo Gazeti lako (lenu) la ' Mwanaspoti ' tena kuna Mmoja nilimuokoa Sinza ' asipigwe ' kwa 'Kufumaniwa' na Mke wa Mtu ni wana Yanga SC na ' mnatumika ' na GSM ambapo mpo katika ' payroll ' yao kama alivyo Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge na Mchambuzi wa EFM Jemedari Said kwa Kazi ' Maalum ' tu ya Kuipamba Yanga SC na Kuidhalilisha na Kuichafua Simba SC ambayo hamuipendi.

Sasa nawaomba rasmi wana Simba SC wote kuanzia leo nasi tuache Kununua Gazeti hili la ' Mwanaspoti ' ambalo ni 99.9% la Yanga SC na sasa wana Simba SC wote tununue Gazeti bora, zuri na lisilo na Upendeleo ( japo Mhariri wake Mkuu Kaka yangu Saleh Ally ni Simba SC ) la CHAMPIONI kwani lina ' Maadili ' na hata Waandishi wake ( CHAMPIONI ) wanajielewa na Kujitambua pia.

Ewe mwana Simba usinunue tena kuanzia Leo hii Gazeti bovu, baya, lenya Chuki na Unafiki mwingi kwa Klabu yetu la ' Mwanaspoti ' na naomba kila mwana JamiiForums ambaye ni mwana Simba SC asambaze Taarifa hii ili ' tuwakomeshe ' sasa hawa ' Mwanaspoti ' tuone kama hawatoanguka ' Kiuchumi ' na Wote kuanzia muda huu tuwe tunanunua tu Gazeti sahihi na zuri la Michezo nchini la CHAMPIONI.

Wewe Mhariri wa Mwanaspoti endelea!!
 
Back
Top Bottom