Asijichanganye, sisi wafuasi wake tunajua amestaafu siasa. Akitaka kulinda heshima yake abakie mtoa maoni tu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
..Dr.Slaa alishajichanganya kwa kumtetea Jpm muuaji.
..Pia alianza kuwasema vibaya Chadema badala ya kuwatetea dhidi ya uovu waliokuwa wakitendewa na Jpm.
..Lowassa aliyemkimbia Chadema amerudi Ccm na kupokewa kwa heshima na taratibu zote.
..Dr arudi Chadema, waombane radhi, mapambano ya haki na katiba bora yaendelee.