Asijichanganye, sisi wafuasi wake tunajua amestaafu siasa. Akitaka kulinda heshima yake abakie mtoa maoni tu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Chadema na Mbowe wanatakiwa kumuomba Dr Slaa msamaha kwa herufi kubwa.Sawa lakini atubu Kwanza maana aliwahi kusema chadema waliingiza kinyesi sebuleni
Akiri hadharani Mbowe sio gaidi...Akalee wajukuu umri umemtupa sana....
Siasa za maslahi ndio zinamponza
Never trust a politicianMwanadiplomasia, Padre na mwanaharakati Dr. Slaa ameonyesha Nia yake kuzirejea siasa za chadema na kuachana na siasa za CCM.
Ikumbukwe kwamba Dr. Slaa pamoja na kuteuliwa kuwa balozi hajawahi kutangaza KUJIUNGA NA chama cha mapinduzi Bali aliwahi kutangaza kuuchana na siasa.
Pamoja na kuachana na siasa lakini maoni na mapendekezo yake kuhusu siasa za Tanzania yamerudi kuwa yaleyale ya mfumo WA chadema Jambo linalomtenga na watawala wa sasa.
Swali, je tutegemee siku moja kumwoma Dr. Slaa akiwa kwenye meza moja ya majadiliano kuhusu hatma ya Tanzania? Tutegemee Lisu na Dr. Slaa kukutana katika meza ya duara? Tutegemee Lisu kwenda nyumbani Kwa Dr au Dr kwenda kumsabahi Lisu atakaporejea?
Tumezoea vyama vikongwe Duniani vikijiwekea utaratibu wakuwatembelea waasisi na wale waliowahi kuhudumu chini Yao Kwa lengo la kudumisha UMOJA. Je Chadema ina program hiyo?
Endapo tunajadili maridhiano kwanini ndani ya wanachadema hatuoni wakiridhiana?
Atubu kitu gani? Kwani ni uongo kuwa waliingiza kinyesi sebuleni?Sawa lakini atubu Kwanza maana aliwahi kusema chadema waliingiza kinyesi sebuleni
Hoja nzuri.Mwanadiplomasia, Padre na mwanaharakati Dr. Slaa ameonyesha Nia yake kuzirejea siasa za chadema na kuachana na siasa za CCM.
Ikumbukwe kwamba Dr. Slaa pamoja na kuteuliwa kuwa balozi hajawahi kutangaza KUJIUNGA NA chama cha mapinduzi Bali aliwahi kutangaza kuuchana na siasa.
Pamoja na kuachana na siasa lakini maoni na mapendekezo yake kuhusu siasa za Tanzania yamerudi kuwa yaleyale ya mfumo WA chadema Jambo linalomtenga na watawala wa sasa.
Swali, je tutegemee siku moja kumwoma Dr. Slaa akiwa kwenye meza moja ya majadiliano kuhusu hatma ya Tanzania? Tutegemee Lisu na Dr. Slaa kukutana katika meza ya duara? Tutegemee Lisu kwenda nyumbani Kwa Dr au Dr kwenda kumsabahi Lisu atakaporejea?
Tumezoea vyama vikongwe Duniani vikijiwekea utaratibu wakuwatembelea waasisi na wale waliowahi kuhudumu chini Yao Kwa lengo la kudumisha UMOJA. Je Chadema ina program hiyo?
Endapo tunajadili maridhiano kwanini ndani ya wanachadema hatuoni wakiridhiana?
Magu Alijitahidi kutekeleza ilani ya CDM, alicopy mengi na kutekeleza, treni ya Umeme aloahidi Slaa, Magu alicopy,..Dr.Slaa alishajichanganya kwa kumtetea Jpm muuaji.
..Pia alianza kuwasema vibaya Chadema badala ya kuwatetea dhidi ya uovu waliokuwa wakitendewa na Jpm.
..Lowassa aliyemkimbia Chadema amerudi Ccm na kupokewa kwa heshima na taratibu zote.
..Dr arudi Chadema, waombane radhi, mapambano ya haki na katiba bora yaendelee.
Nyoka mwenye SUMU Kali ni CCM,Sioni kwa dr. Silaa kukubalika tena chadema. Huyo jamaa ni nyoka mwenye sumu kali
Sijui aisee.Mwanadiplomasia, Padre na mwanaharakati Dr. Slaa ameonyesha Nia yake kuzirejea siasa za chadema na kuachana na siasa za CCM...
Mzee wa miaka 80 aje afanye nini Chadema?Mwanadiplomasia, Padre na mwanaharakati Dr. Slaa ameonyesha Nia yake kuzirejea siasa za chadema na kuachana na siasa za CCM.
Ikumbukwe kwamba Dr. Slaa pamoja na kuteuliwa kuwa balozi hajawahi kutangaza KUJIUNGA NA chama cha mapinduzi Bali aliwahi kutangaza kuuchana na siasa.
Pamoja na kuachana na siasa lakini maoni na mapendekezo yake kuhusu siasa za Tanzania yamerudi kuwa yaleyale ya mfumo WA chadema Jambo linalomtenga na watawala wa sasa.
Swali, je tutegemee siku moja kumwoma Dr. Slaa akiwa kwenye meza moja ya majadiliano kuhusu hatma ya Tanzania? Tutegemee Lisu na Dr. Slaa kukutana katika meza ya duara? Tutegemee Lisu kwenda nyumbani Kwa Dr au Dr kwenda kumsabahi Lisu atakaporejea?
Tumezoea vyama vikongwe Duniani vikijiwekea utaratibu wakuwatembelea waasisi na wale waliowahi kuhudumu chini Yao Kwa lengo la kudumisha UMOJA. Je Chadema ina program hiyo?
Endapo tunajadili maridhiano kwanini ndani ya wanachadema hatuoni wakiridhiana?
Siasa ni timing hiki unachokitaka wewe hakitakusaidia kitu chochote maana ni muhemko tu.Sawa lakini atubu Kwanza maana aliwahi kusema chadema waliingiza kinyesi sebuleni
HAAMINIKIHiyo Liability Sasa Hivi Aende Alikokwenda
ukiambiwa uthibitishe walipolamba asali utaanza kujitia vidole makalioni na kumusa mwenyeweBalozi Silaa ni moja ya wanasiasa tunaowaheshimu sana.
Asirudi kwa walamba asali, ataua legacy yake ya siasa za msimamo sahihi - kutetea wanyonge na masilahi ya nchi kwa kupambana na rushwa.
Ninaamini hawezi kufanya hilo kosa.
Pesa haram 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akiri hadharani Mbowe sio gaidi...