Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
ππππππππ habar za leo mkuuLazima CCM mtage mwaka huu!! Huyo ndo mteule wa Mungu Tundu Antiphas Lissu! Mtajua hamjui mwaka huu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππ habar za leo mkuuLazima CCM mtage mwaka huu!! Huyo ndo mteule wa Mungu Tundu Antiphas Lissu! Mtajua hamjui mwaka huu!
Urais sio makalio kwamba kila mtu lazima awe nayo,lissu hawezi kuwa rais na hatakuwa rais wa nchi hii .weka hili katika kumbukumbu zako.Mbona Jiwe hakutarajia kuwa Rais ila imewezekana kwa namna zote kwanini isiwe kwa Lissu ama mwingine yeyote?
Wewe kama unajihisi upo kwenye kundi la inferiority complex ni wewe sio kila mtu.
. Ingawa siyo msomi Mzuri wa kiswahili ila mkuu ulipo c Kuna ofisi za wavuvi afu za mkuu wa wilaya unaweza kufika kwao utapata msaada nauhakika fanya hivo Dunia ya Leo cyo unangoja unayempenda awe rais
Nikweli unacho kisema lakini naomba utambue hili nanukuu sisi tumekuja kufanya haya hatumsikilizi yoyote yule isipokuwa rais na waziri tu wengine kwetu sikitu yaani mwisho wakunukuu nioda kutoka ikulu. Ingawa siyo msomi Mzuri wa kiswahili ila mkuu ulipo c Kuna ofisi za wavuvi afu za mkuu wa wilaya unaweza kufika kwao utapata msaada nauhakika fanya hivo Dunia ya Leo cyo unangoja unayempenda awe rais
Vipi ulikosea ukaweka tiki kwa jembe magufuli?Tarehe 28 tunaweka tiki kwa Lissu!
Uchaguzi ulishaisha,so move on!Watu tunaendelea na maisha,kesho mzigoni kama kawaida!Vipi ulikosea ukaweka tiki kwa jembe magufuli?
.Duuuh Swahili ngumu ila but all in all kazanaI'm
Nikweli unacho kisema lakini naomba utambue hili nanukuu sisi tumekuja kufanya haya hatumsikilizi yoyote yule isipokuwa rais na waziri tu wengine kwetu sikitu yaani mwisho wakunukuu nioda kutoka ikulu
Hawa jamaa sijui wanalishwaga nini, yaani ni kama wehu. SEMA kweli ccm wametaga π€£π€£π€£π€£
. Wajinga kwelikweliHawa jamaa sijui wanalishwaga nini, yaani ni kama wehu
Leo anaropoka hili kesho anabadili gia angani kwa lile lile aliloongea anaibu jingine
Umefika wakati wakutii mamlaka lazima nikubaliane nahali chakuniponesha nimwenyezi mungu amtiehuruma kiongozi mkuu nitafanikiwa ninachohitaji nihuruma sipotena kisiasa.Duuuh Swahili ngumu ila but all in all kazana
kwanini mkuuUmefika wakati wakutii mamlaka lazima nikubaliane nahali chakuniponesha nimwenyezi mungu amtiehuruma kiongozi mkuu nitafanikiwa ninachohitaji nihuruma sipotena kisiasa
Kwa uelewa wako, kuna waliozaliwa na mihuri ya kuwa maraisi?Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.
Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.
Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.
Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.
Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.
Kwa uelewa wako, unadhani urais ni makalio kwamba lazima kila mtu awe nayo?Kwa uelewa wako, kuna waliozaliwa na mihuri ya kuwa maraisi?
Poor thinking and meagre reasoning!!Kwa uelewa wako, unadhani urais ni makalio kwamba lazima kila mtu awe nayo?
Uchaguzi umeisha namkuu kapatikana tuliochini yake kiutawala mlezi niyeye nadhani hatayeye kilamwananchi anampenda hapendi kupoteza nguvu kazi bado wavuvi tunategemea huruma yake atayo jaliwa na mungu wakekwanini mkuu
. Bc atawaoneni MSikwazikeUchaguzi umeisha namkuu kapatikana tuliochini yake kiutawala mlezi niyeye nadhani hatayeye kilamwananchi anampenda hapendi kupoteza nguvu kazi bado wavuvi tunategemea huruma yake atayo jaliwa na mungu wake