Kwa ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani ngazi ya certificate?

Kwa ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani ngazi ya certificate?

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,580
Reaction score
7,203
Ufaulu wa huu huyu binadamu anaweza kusoma ngazi ipi ngazi ya certificate:-
B/math F
Geo. F
Hist. D
Civics. D
Kiswa. D
Engl. D
Litera. D.
 
Ufaulu wa huu huyu binadamu anaweza kusoma ngazi ipi ngazi ya certificate:-
B/math F
Geo. F
Hist. D
Civics. D
Kiswa. D
Engl. D
Litera. D.
Anaweza soma kozi karibia zote za sanaa ispokuwa kozi za Afya ndio haiwezekani, hapo inabidi ujue kwanza ye anapendelea nini au wewe unapendelea nini na baada ya hapo mtajua mnaanzia wapi
 
Back
Top Bottom