amaregesii
New Member
- Jun 17, 2022
- 4
- 1
Kwenye cheti chako cha kumaliza diploma kimewekwa gpa ipi? Kama kimewekewa 2.8 ndio gpa yako hiyo ya level ya diploma.Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1...
Kwenye transcript yake inasoma ndio 2.8. ila ss application za chuo kwenda degree wanaangalia ya miaka yote ya diploma au mwaka wa mwisho ?Kwenye cheti chako cha kumaliza diploma kimewekwa gpa ipi? Kama kimewekewa 2.8 ndio gpa yako hiyo ya level ya diploma.
Wanaangalia OVERALL GPAKwenye transcript yake inasoma ndio 2.8. ila ss application za chuo kwenda degree wanaangalia ya miaka yote ya diploma au mwaka wa mwisho ?
Poa mkuu shukraniWanaangalia OVERALL GPA
Akasome foundation programme mwaka mmoja open university.Akifaulu atakuwa na vigezo vya kuendelea na bachelor degree kama ndiyo ndoto yake.Tofauti na hapo hana vigezo vya ku join bachelor kwa GPA hiyo.Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1...