Kwa ufaulu huu naweza kupangiwa chuo gani?

Kwa ufaulu huu naweza kupangiwa chuo gani?

Dizor 4shizor

Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Habari wana JF nimemaliza fm 6 mwaka huu, nimepata div 3 point 10.....phy-C Chm-B Math-B
Nimeapply vyuo hivi..
1.)UDSM- CIVIL
2.)DIT-CIVIL
3.)ARDHI-CIVIL
4.)DIT-ELECTRICAL
5.)UDOM-PETROLEUM

Kwa uzoefu wenu wadau, ninaweza kupata chuo gani...??
 
Labda ungeangalia watu wangapi wame apply kila course uliyoomba kwenye computer.
 
Habari wana JF nimemaliza fm 6 mwaka huu, nimepata div 3 point 10.....phy-C Chm-B Math-B
Nimeapply vyuo hivi..
1.)UDSM- CIVIL
2.)DIT-CIVIL
3.)ARDHI-CIVIL
4.)DIT-ELECTRICAL
5.)UDOM-PETROLEUM

Kwa uzoefu wenu wadau, ninaweza kupata chuo gani...??



Hakuna anayeweza kukupa jibu sahihi hapo,peleka cursor kwenye code ya program angalia wangapi wameapply,wangapi wapo eligible na wangapi pia wamechagua kama first choice

Lakini,

Deadline ya kubadili imeshaisha,kwa nini usitulie tu ukawaachia TCU wafanye kazi yako

Kumbuka,sio lazima upate mojawapo ya hivyo vyuo,unaweza kukosa first round na second round ikakuhusu
 
Acha haraka kijana shehk yahya mtabiri ashakufa.
 
sijui utachaguliwa wapi ila UDSM sahau....marks ndogo sana hizo kwa course kama Civil.....labda DIT
 
Back
Top Bottom