Kwa ufaulu huu naweza kusoma Architecture?

C ndo mpaka achaguliwe,credit c ya math's o'level lazma mh! labda atoe rushwa ndo atapata.

Je aliichagua hiyo course? Majibu yapo mbioni Septmber hii, ikiwa atachaguliwa course nyingine ARU akijisajili tu ile wiki ya kwanza ataandika barua kubadili course
 
Hana sifa mkuu,hapo sasa ndo labda atumie pesa kuna watu wana division zero za 4m4 wanasoma diploma,pesa ndo inaongea anasoma anafauru flesh ila baadae atakwama kila cku tunackia madaktari feki,huyo naye atakuwa architecture feki.
 
Criteria for selection
 
Attachments

  • 1409911220649.jpg
    1409911220649.jpg
    72.8 KB · Views: 162
  • 1409911250468.jpg
    1409911250468.jpg
    46.4 KB · Views: 138
Huwezi soma zamani ndo walikuwa wanachukua huyo anaesema wanasoma hawo ndo wamwisho soma vzur guidebook ya sasa lafu tafuta naya 2010/2011 ndo utaelewa vzur utaona utofauti,hata kozi ya construction management & building survey hazipo,system znabadilika mkuu! HGE na architecture tofauti! Nenda chuo ardhi kaulize wata kuambia labda zile urban and regional planning etc. Ndo utapata.

da sijui una uhakika asilimia ngapi na unachoongea bcoz guidebook ya tcu ya 2014/2015 inaeleza hata mtu wa HGE anaweza soma architecture
 
Attachments

  • 1409913831599.jpg
    1409913831599.jpg
    67.4 KB · Views: 132
da sijui una uhakika asilimia ngapi na unachoongea bcoz guidebook ya tcu ya 2014/2015 inaeleza hata mtu wa HGE anaweza soma architecture

Ha ha ha..., wanataka hivi 2 principal pass in: mathematics,physics,chemistry,biology,geography or fine arts,kama hauna principal y math unatkiw uw n subsidiary pass y advance mathematics/applied math with credit "c" y math's o'level,ndvyo ilivyo kwny guidebook 2014/2015 mm natumia cmu yangu yakawaida cwez kuwaekea hii sehemu brother wangu kapga hapo construction management kamaliza 2012 now n QS,QUANTITY SURVEY m mwnyw soon ntakuw eng tuombe uhai, hivyo ndvyo nnavyojua. Mm cfany kaz tcu wala ardhi ye aombe akipata haya asipopata atajua mwnyw cmjui anijui.
 
navyoona mm hge kusoma architecture unatakiwa uwe na score marks za juu sana kama 1.3 au 4 na watakufikiria coz hyo coz ina competition kubwa sana maana imepewa mkopo priorty hvyo wanaoaply hyo coz wapo wengi na isitoshe wengi wao wamechukua masomo ya sayansi sasa usitegemee una score marks ndogo alaf uchaguliwe hzo ni ndoto
 
Huo ndo ukwel mkuu,hapo 2po sawa acwaze kwamba tayar ashapata coz kuna PCM,PCB,PGM na chuo kinachukua wangapi? Mpaka we HGE upate n ngumu sn lazma huwe umebutua kwelkwel
 
So hio coz CBG ANACHUKULIWA MTU MWENYE C C B na uzur wa hio coz uko wapi na ubaya wake plz soko la ajira vipi
 
Ha ha ha..., wanataka hivi 2 principal pass in: mathematics,physics,chemistry,biology,geography or fine arts,kama hauna principal y math unatkiw uw n subsidiary pass y advance mathematics/applied math with credit "c" y math's o'level,ndvyo ilivyo kwny guidebook 2014/2015 mm natumia cmu yangu yakawaida cwez kuwaekea hii sehemu brother wangu kapga hapo construction management kamaliza 2012 now n QS,QUANTITY SURVEY m mwnyw soon ntakuw eng tuombe uhai, hivyo ndvyo nnavyojua. Mm cfany kaz tcu wala ardhi ye aombe akipata haya asipopata atajua mwnyw cmjui anijui.

QS unajiita engineer?duh
 
Mkuu Jerhy najua ww ni arch. hope utanielewa.

Mkuu nina bro wangu alimaza St.Anthony 2007, alikula 1:6 PCM akaacha maeng. ya CoET akaamua achukue hiyo arch. ya ardhi 5yrs, aseee na uBright wote aliokua nao alichezeshwa viduku hatari, liwa vichwa si kitoto, watu wa EGM na HGE walidisco wengi tu kuanzia 3rd year, since then watu wa HGE hawaisogelei kabisa arch. at least EGM nae kwa minato...

kagraduate na upper kala zake shavu caspian, sahivi yupo Quatar anapiga mzigo viwanja vya WC 2018...

Acha kusikia habari za kusadikika,huyo kaka yako anaitwa nani?na eti wanaodisco na EGM na HGE..wewe ni lecture ARU ndio unatoa hizo takwimu?usiongope,mtaje huyo bro wako coz waliograduate architecture 2011 na 2012 wote tunawajua
 
Last edited by a moderator:
Soma kwanza co unakurupuka nmesema bro wangu n QS m ndo nasoma eng ,halafu QS kwa jina lingine anaitwa COST ENGINEER,au haujui kaz y QS

Mimi najua anaitwa Quantity surveyor then usije ukathubutu Architect au QS kumwita engineer,usitake kuharibu professional za watu,na wewe engineer wa wapi si useme basis au wa st Joseph??Mimi nasoma GEomatics na tunasoma engineering survey na kazi nyingi za survey basi zipo katika engineering projects so na Mimi nijiite engineer au?...eti kuitwa cost engineer ndio amekua engineer?so p funk ni engineer coz kuna sound engineer pia studio...
 
So hio coz CBG ANACHUKULIWA MTU MWENYE C C B na uzur wa hio coz uko wapi na ubaya wake plz soko la ajira vipi

uzuri wa hyo coz its free unaweza ukajiajir mwenyew baada ya kumaliza and inafanya your mind to think very dip, hii coz kuichukua you need to be creative na hchi ndo kinaifanya hii coz iwe ngumu inaitaji msuli wa maana so ukichaguliwa be ready
 
Mimi najua anaitwa Quantity surveyor then usije ukathubutu Architect au QS kumwita engineer,usitake kuharibu professional za watu,na wewe engineer wa wapi si useme basis au wa st Joseph??Mimi nasoma GEomatics na tunasoma engineering survey na kazi nyingi za survey basi zipo katika engineering projects so na Mimi nijiite engineer au?...eti kuitwa cost engineer ndio amekua engineer?so p funk ni engineer coz kuna sound engineer pia studio...

Halo we n mbishi! Soma vzur ile post kama kuna sehemu nmemwita eng,kaaa! We utafanya kazi za GIS, na gematics yk pamoja kupima vwanja njoo majohe hku upime.****
 
Afadhali hata nipime viwanja kuliko kusota mtaani,mimi sihangaiki kutafuta kazi na pia hio GIS wanafanya watu wa geoinformatics,Mimi kazi zangu ni tofauti na hizo cadastral (kupima viwanja) ni kazi ndogo sana katika survey..Mimi kama sukari vile kila sehemu nipo,field tu natengeneza hela,wanafunzi tu wa geomatics wanapiga madili kitaa huko,usimtusi surveyor na kama huamini tafuta mtu yeyote graduate engineer au mtu wa Ardhi watakuambia
 
I know kwan m nmekuzarau we pga hy koz yk,
 
Back
Top Bottom