Kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha afya cha serikali?

Hv na mwenye f ya physics private wanakuchukua kweli?
 
Unahangaika Sana ndugu afu unaonekana sio mkweli.



Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Kwann
 
Kazana utafte pesa za mtaji ukajiajil, hayo mambo ya vyuo sjui nn unapoteza muda ndugu yangu.

Ukweli mchungu lkn lazima usemwe ili watu wapate kupona.

Akili za kuajiliwa bado mnazo?? Shame on you
Sasa kila mtu akijiajiri,nani ataihudumia jamii?
 
Unataka usome utabibu miaka hii ili iweje?


Kama ni entry point kwenda bachelor sawa, ila kama ni kazi..fikiri mara mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu C.O ni njia tu ninayotaka kupitia lakini lengo langu nataka niwe daktari(MD)
Kama ni hii sawa, ila hakikisha unapata GPA kuanzia 4.3/4.5 kwenda juu ..na kwa vyuo vya serikali hii utapata ila kwa tabu sana, bora uende zako private ukagawiwe GPA ukapige zako bachelor, otherwise utakua ushazama shimoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fata ushauri achana na CO, japo unaweza kusoma kitu unachokipenda hatujui labda mna zahanati yenu,
Kozi mzuri za afya kwa ngazi cheti na diploma Kwa Sasa ni
-Pharmacy
-Radiology
-Laboratory
-Dental

Pharmacy nayo itoe hapa kwenye list..nayo ina ka ugumu flani mtaani,

Anza na lab, radiology then dental. Japo radiology pana sana, mbali na hospital unaweza kupiga airport, bandarini maana pote kuna mionzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mtwara pako vizuri sana pale Cotc,, mimi nilimwombea mdogo wangu kienyejikienyeji sikupata nikaja kushangaa kuna dingi mwanae hakupasua kama mdogo wangu alipata.
Yule mshua nilivyomweleza akacheka tu na kusema ungeniambia master. Pale pamekaa namna fulani so you need a referee.
 
Hv na mwenye f ya physics private wanakuchukua kweli?
Hawakuchukui, Na Kama Watakuchukua Utapoteza Ada Bure Tu Maana Baraza NACTEVET Hawatokutambua, Siku Hizi Majina Yote Ya Wanaoomba Vyuo Yanatumwa NACTEVET ,Kwaiyo Kama Hauna Sifa Wanakutema .
 
Dah umeongea ukweli mtupu

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…