Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 511
- 848
Uwe Daktari ili iweje?Mkuu C.O ni njia tu ninayotaka kupitia lakini lengo langu nataka niwe daktari(MD)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe Daktari ili iweje?Mkuu C.O ni njia tu ninayotaka kupitia lakini lengo langu nataka niwe daktari(MD)
Optometry, physiotherapy. Ila Radiology ndo best zaidiFata ushauri achana na CO, japo unaweza kusoma kitu unachokipenda hatujui labda mna zahanati yenu,
Kozi mzuri za afya kwa ngazi cheti na diploma Kwa Sasa ni
-Pharmacy
-Radiology
-Laboratory
-Dental
Ili niwe na maarifa zaidi katika hii kadaUwe Daktari ili iweje?
Samahani mkuu we ni afisa tabibu ,je hauna mpango wowote wa kujiendeleza na level ya degreeUwe Daktari ili iweje?
Hv na mwenye f ya physics private wanakuchukua kweli?Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato Cha nne na kupata ufaulu ufuatao kwenye masomo ya sayansi, Physics-C, Chemistry-A, Biology-B, B/math-B.
Sasa nilikuwa nataka nifanye maombi yangu kwenye vyuo vya afya vya serikali kwa ngazi ya stashahada, na kozi ninayotaka kuisoma ni utabibu, je kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha afya cha serikali?
Shukrani kwenu nakaribisha mawazo yenu.
KwannUnahangaika Sana ndugu afu unaonekana sio mkweli.
Msaada kwa haya matokeo
Wakuu habari yenu, Natanguliza shukrani kwenu Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka juzi na alipata division two ya 19 na masomo ya sayansi alpata Kama ifuatavyo phyz-C, chem-C,bios-C. Sasa alikuwa anataka kusoma kozi za afya za nesi au pharmacy kwa ngazi ya diploma vyuo vy serikali.Sasa...www.jamiiforums.com
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Nitapata nafasi kweli hapo Muhimbili bila refa mkuu
Sasa kila mtu akijiajiri,nani ataihudumia jamii?Kazana utafte pesa za mtaji ukajiajil, hayo mambo ya vyuo sjui nn unapoteza muda ndugu yangu.
Ukweli mchungu lkn lazima usemwe ili watu wapate kupona.
Akili za kuajiliwa bado mnazo?? Shame on you
Uzalendo hamna mkuuSasa kila mtu akijiajiri,nani ataihudumia jamii?
Unataka usome utabibu miaka hii ili iweje?Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato Cha nne na kupata ufaulu ufuatao kwenye masomo ya sayansi, Physics-C, Chemistry-A, Biology-B, B/math-B.
Sasa nilikuwa nataka nifanye maombi yangu kwenye vyuo vya afya vya serikali kwa ngazi ya stashahada, na kozi ninayotaka kuisoma ni utabibu, je kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha afya cha serikali?
Shukrani kwenu nakaribisha mawazo yenu.
Kama ni hii sawa, ila hakikisha unapata GPA kuanzia 4.3/4.5 kwenda juu ..na kwa vyuo vya serikali hii utapata ila kwa tabu sana, bora uende zako private ukagawiwe GPA ukapige zako bachelor, otherwise utakua ushazama shimoni.Mkuu C.O ni njia tu ninayotaka kupitia lakini lengo langu nataka niwe daktari(MD)
Fata ushauri achana na CO, japo unaweza kusoma kitu unachokipenda hatujui labda mna zahanati yenu,
Kozi mzuri za afya kwa ngazi cheti na diploma Kwa Sasa ni
-Pharmacy
-Radiology
-Laboratory
-Dental
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato Cha nne na kupata ufaulu ufuatao kwenye masomo ya sayansi, Physics-C, Chemistry-A, Biology-B, B/math-B.
Sasa nilikuwa nataka nifanye maombi yangu kwenye vyuo vya afya vya serikali kwa ngazi ya stashahada, na kozi ninayotaka kuisoma ni utabibu, je kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha afya cha serikali?
Shukrani kwenu nakaribisha mawazo yenu.
Hawakuchukui, Na Kama Watakuchukua Utapoteza Ada Bure Tu Maana Baraza NACTEVET Hawatokutambua, Siku Hizi Majina Yote Ya Wanaoomba Vyuo Yanatumwa NACTEVET ,Kwaiyo Kama Hauna Sifa Wanakutema .Hv na mwenye f ya physics private wanakuchukua kweli?
Dah umeongea ukweli mtupuMtwara pako vizuri sana pale Cotc,, mimi nilimwombea mdogo wangu kienyejikienyeji sikupata nikaja kushangaa kuna dingi mwanae hakupasua kama mdogo wangu alipata.
Yule mshua nilivyomweleza akacheka tu na kusema ungeniambia master. Pale pamekaa namna fulani so you need a referee.