Lucky sane
Member
- Jul 6, 2020
- 7
- 4
Kote co na nursing wana qualifications zinazofananaUnapata kabisa as kwa sasa wanahitaji mtu mwenye Kuanzia D kwa Masomo ya physics ,chemistry,biology & math so qualifications zote unazo ila swali langu ni ukishaaply chuo au ndio unafikiria kuapply sasa hivi?
Yan bro acha tu kweny selform tulichagua chuo selection zinarud tumepelekwa advnc tena comb za art hge ikiwa cbg umefaulu vzur tu sasa mm naona bora niapply chuo!Kwani hamjachaguliwa vyuo na tamisemi..?
Kweli bora kapige chuo, omba mapema vya serikali usisahau kuegesha maombi chuo cha private ambacho ni affordable and reliableYan bro acha tu kweny selform tulichagua chuo selection zinarud tumepelekwa advnc tena comb za art hge ikiwa cbg umefaulu vzur tu sasa mm naona bora niapply chuo!
Sawa shukran kwa ushaur broKweli bora kapige chuo, omba mapema vya serikali usisahau kuegesha maombi chuo cha private ambacho ni affordable and reliable
nimesha apply kabisaUnapata kabisa as kwa sasa wanahitaji mtu mwenye Kuanzia D kwa Masomo ya physics ,chemistry,biology & math so qualifications zote unazo ila swali langu ni ukishaaply chuo au ndio unafikiria kuapply sasa hivi?
Unapata chuo safi ila angalia vile vyuo ambavyo waamini ata competition ya watu kwenda ndogo. Kama Peramiho College of Health and Allied Science. Naamini utapata soma CO yako safi.Wakuu naomba mnisaidie Mimi nimehitimu kidato cha NNE mwakaa 2019 nikapata Chemistry-C, Biology-C, M aths-C, Geo-C, Physics-D, Hist-C, Kiswahili-C na English- C, nina 2point 21 he ninaweza kupata chuo cha Serikali kwa koz ya clinical officer kwa ushindani uliopo saizi
Just apply peramiho college of health and allied science.Oya mwamba bora ulivyouliza mwenywe nilikuwa nataka niulize hvyo hvyo na matokeo yngu na yko yanafanana kdg na nataka niapply chuo cha co
Hicho si cha private bro tunasemea vya serikalJust apply peramiho college of health and allied science.
AsanteMatokeo hayo mbna ilibidi upate post ya f5 tena CBG, mmmmh poleeeh nenda chuo soma Medical Lab, au Pharmacy.
Yeaaah fanya hivyoohLm
Asante
Kwa hizo qualification zako Co unapata kabisa tatizo linakuja kwamba competition zinaleta changamoto pale ambapo kuna ambao wana ufaulu mkubwa zaidi japo wote mna qualifications za kupata hizo course wenye ufaulu mjubaa zaidi ndio wanaleta changamoto na hasa Ikiwa wameshawahi kuapply kabla ya ambao ufaulu wao Sio mkubwa sana.Bro mimi matokeo yng ni math-d,phy-d,chem-c,bio-c ,engl-c Nina two ya 20 na had sasa nimeapply vyuo viwil vya serikal co je naweza pata nafasi!!??
Matokeo yamefika qualifications za nacte Ila ttzo ni kwamba Kozi ya CO inaombwa na watu wengi mno na ukilinganisha na matokeo yko unakuta wamekuzidi so kupata ni ngumu....omba nursing dogo vyuo vya kawaida tu usiapply vikubwa vinacompitition kubwaBro mimi matokeo yng ni math-d,phy-d,chem-c,bio-c ,engl-c Nina two ya 20 na had sasa nimeapply vyuo viwil vya serikal co je naweza pata nafasi!!??