Kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha Government Diploma?

Kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha Government Diploma?

Wakuu naomba mnisaidie Mimi nimehitimu kidato cha NNE mwakaa 2019 nikapata Chemistry-C, Biology-C, M aths-C, Geo-C, Physics-D, Hist-C, Kiswahili-C na English- C, nina 2point 21 he ninaweza kupata chuo cha Serikali kwa koz ya clinical officer kwa ushindani uliopo saizi
utapata uhakika
 
una matokeo mzur tu lakini kwa ushaur wangu omba nursing vyuo vya serikali vya hadhi ya kawaida tu usiforce kuomba kcmc, bugando,kibaha,sijui muhas achana navyo...Ila upande wa CO ukiapply asee unakosa hili nakuweka wazi kabsa medical lab yenye vyuo si zaid ya 7 tz nzima na pharmacy mtwara cotc....CO ni kozi inayoombwa na watu wengi mno...mfano mi mwaka Jana niliapply CO tanga lkn mtu wa mwisho kuchaguliwa pale alikua na 1 ya 14...na kiliombwa na watu 1600+ na kilichukua 50 tu....niliomba CO machaguo mawili na la tatu nikaomba nursing newala nikapata..
Kwahyo mkuu uko Newala..?
 
Ila competition huwa ni kubwa xana vyuo vya serikali lakin jarbu bahati yako ndugu
 
Wakuu naomba mnisaidie Mimi nimehitimu kidato cha NNE mwakaa 2019 nikapata Chemistry-C, Biology-C, M aths-C, Geo-C, Physics-D, Hist-C, Kiswahili-C na English- C, nina 2point 21 he ninaweza kupata chuo cha Serikali kwa koz ya clinical officer kwa ushindani uliopo saizi

89% SURE
 
Jamani kwa anaezijua private school mkoa wa Kigoma ambazo zinatoa combination ya CBG noamba msaada.
 
Nimemaliza form 4 mwaka 2022 kwa ufaulu uu mathematics f, biology c, chemistry d, history d, physical education d, English c, civic d, geography d, kiswahili c. Naweza kujiunga na chuo chochote cha afya hapa Tanzania 🇹🇿
 
Back
Top Bottom