utapata uhakikaWakuu naomba mnisaidie Mimi nimehitimu kidato cha NNE mwakaa 2019 nikapata Chemistry-C, Biology-C, M aths-C, Geo-C, Physics-D, Hist-C, Kiswahili-C na English- C, nina 2point 21 he ninaweza kupata chuo cha Serikali kwa koz ya clinical officer kwa ushindani uliopo saizi
Kwahyo mkuu uko Newala..?una matokeo mzur tu lakini kwa ushaur wangu omba nursing vyuo vya serikali vya hadhi ya kawaida tu usiforce kuomba kcmc, bugando,kibaha,sijui muhas achana navyo...Ila upande wa CO ukiapply asee unakosa hili nakuweka wazi kabsa medical lab yenye vyuo si zaid ya 7 tz nzima na pharmacy mtwara cotc....CO ni kozi inayoombwa na watu wengi mno...mfano mi mwaka Jana niliapply CO tanga lkn mtu wa mwisho kuchaguliwa pale alikua na 1 ya 14...na kiliombwa na watu 1600+ na kilichukua 50 tu....niliomba CO machaguo mawili na la tatu nikaomba nursing newala nikapata..
Yap Niko newalaKwahyo mkuu uko Newala..?
Uko mwaka wa ngapi hapo..?Yap Niko newala
Wakuu naomba mnisaidie Mimi nimehitimu kidato cha NNE mwakaa 2019 nikapata Chemistry-C, Biology-C, M aths-C, Geo-C, Physics-D, Hist-C, Kiswahili-C na English- C, nina 2point 21 he ninaweza kupata chuo cha Serikali kwa koz ya clinical officer kwa ushindani uliopo saizi
Wa kwanzaUko mwaka wa ngapi hapo..?