Kwa ufaulu huu nisome kozi gani?

Kwa ufaulu huu nisome kozi gani?

Twyn

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2020
Posts
993
Reaction score
550
Kwa matokeo haya Phy C, Chem D, Bios E naombeni ushauri nisome kozi gan nzurii tofauti na education

Nilikua napenda medicine lakini vigezo sina, na diploma simudu ada.
 
Bsc in Food Science and Technology, Bsc in Human nutrition. Nakushauri angalia kozi utakayopenda SUA
 
Food science and Technology,unafanya kazi wapi..?
 
1. Utafanya kazi viwandani hasa vya vyakula na vinywaji.
2. Unaweza fanya kazi kama mthibiti ubora wa vyakula na vinywaji ( hii mostly serikalini)
3. In generally sehemu zote ambapo kuna chakula e.g kwenye idara za uvuvi, ama vinywaji.
 
Kama ukisoma effectively ukaelewa sio lazima uajiliwe tumia akili kutengeneza product yoyote kisha produce na uza mwenyewe, kama mtaji ni shida uza wazo lako kwa wenye viwanda.

Lingine utakuwa mtaalamu wa kudesign food packaging
 
Back
Top Bottom