Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

"Siongezi mishahara kwakuwa tunatoa elimu bure"
Sasa hapo ni nani aliyekuwa analipia hiyo elimu km siyo watumishi?

(Hawamu yangu,matajiri watateseka sana,watakuwa mashetani).
 
Usipotoshe bwana, humu watumishi wa umma tupo,tunajua uzur wa JPM
 
Reactions: Ame
Punguza matarajio kutoka kwa watu. Tunza hicho kidogo unachopata kwani maisha yanaweza kubadilika muda wowote. Yawezekana ulikuwepo tangu enzi za Mkapa ambapo napo wafanyakazi walilalamika hivyo hivyo, Kikwete naye akaja wakalalamika, Magufuli alipoingia naye walilalamika na naamini hata sasa WANALALAMIKA.

Nikusihi, ukiwa mtu wa malalamiko, unajifunga na kuziba milango yako ya baraka na kukaribisha magonjwa ya depression yasiyo na kichwa wala mguu.

Jifunze kusamehe na kusahau pia. Sahau ya jana bali jali ya leo na kesho japo kesho ni fumbo. Unayemalalmikia (Magufuli) sasa ni Marehemu je malalamiko haya yatazaa tija yoyote kama syo kutesa moyo wako TU?

Mshukuru MUNGU kwa kidogo ulichonacho kwani wapo wenye elimu kama ww hawana hata hicho unachokipataa japo kidg. Muombe MUNGU pia na tumia elimu yako kuwakomboa wanaokuzunguka ili inapofika kipindi cha UCHAGUZI mchague viongozi sahihi na wenye kujali maslahi yenu.

Ahsante!
 
Shida yake kuu ni kwamba alijikuuutaa..
🤣😂🤭🤭.

Dunia ikasema hapana. Hatuendi hivyo.
 
Jpm alichukiwa na wezi kama kamba na nduguze
Watanzania wadilifu kama mimi tulimpenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…