sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Jamaa anakumbukwa kweli kila siku lazma tred mpya kumhusu ije
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaahaaaa vyeti feki weweKwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja niwaonyeshe Machache,
1. Kupandisha Madaraja , kwa Mfano wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014, haikujulikana ni LINI, wangepanda Madaraja! Imagine Miaka 7, na hatimaye wakaja kupanda mwaka 2021! Baada ya mama kuingia madarakani! Just imagine
2. Nyongeza za kawaida za Kila mwaka ambazo zipo kisheria kabisa yeye alifuta! Tena Bila shaka hakutaka kusikia, haijafahamika mara moja ni kwanini!
3. Kazi maalum kwa walimu Mfano (kusahihisha mitihan ya taifa)
Walimu waliokuwa wakifanya Kazi iyo kabla ya JPM kuingia madarakani, mbali na kwamba walilipwa vizuri pia walikula chakula kizuri, lakini pia waandaaji walifanya kama kuwamotisha walimu kwa kuwapa kama utalii wa ndani, maana yule wa kigoma angeenda Tanga wa Tanga akaenda Tabora huko n.k...
Hii iliwafanya baadhi ya watu kufurahia na angalau kubadilisha mazingira!
Sasa Mzee baba alivyoingia akapiga marufuku akisema wa Tabora abaki Tabora na WA Mwanza abaki mwanza! Hakuishia hapo na malipo akapunguza! Akidai walimu hiyo ni kazi Yao, hivyo ikibidi wasilipwe chochote! Na Sasa kuanzia pale kazi ikawa Haina morali kwani kazi kubwa, malipo kidogo na masimango juu.
Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.
WatakaaKwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi
Magufuli hakuwachukia watumishi Ila aliamini kwamba ili kufanya mtumimishi aweze kuishi Maisha nafuu Ni lazima Kuna mambo yakae Sawa na suluhu si kuongeza mshahara.Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja niwaonyeshe Machache,
1. Kupandisha Madaraja , kwa Mfano wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014, haikujulikana ni LINI, wangepanda Madaraja! Imagine Miaka 7, na hatimaye wakaja kupanda mwaka 2021! Baada ya mama kuingia madarakani! Just imagine
2. Nyongeza za kawaida za Kila mwaka ambazo zipo kisheria kabisa yeye alifuta! Tena Bila shaka hakutaka kusikia, haijafahamika mara moja ni kwanini!
3. Kazi maalum kwa walimu Mfano (kusahihisha mitihan ya taifa)
Walimu waliokuwa wakifanya Kazi iyo kabla ya JPM kuingia madarakani, mbali na kwamba walilipwa vizuri pia walikula chakula kizuri, lakini pia waandaaji walifanya kama kuwamotisha walimu kwa kuwapa kama utalii wa ndani, maana yule wa kigoma angeenda Tanga wa Tanga akaenda Tabora huko n.k...
Hii iliwafanya baadhi ya watu kufurahia na angalau kubadilisha mazingira!
Sasa Mzee baba alivyoingia akapiga marufuku akisema wa Tabora abaki Tabora na WA Mwanza abaki mwanza! Hakuishia hapo na malipo akapunguza! Akidai walimu hiyo ni kazi Yao, hivyo ikibidi wasilipwe chochote! Na Sasa kuanzia pale kazi ikawa Haina morali kwani kazi kubwa, malipo kidogo na masimango juu.
Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.
Asante Sana.Vipi mbona unacheka kama shoga!!? Muulize Membe yuko wapi alikuwa anacheka kama wewe shoga!!
Acha ujinga wewe. Kama wewe hukuwa na tatizo ndo unataka wote tunyamaze tusiseme alivyotunyanyasa?Alikuchukia wewe kwa kuwa ulikuwa na cheti fake lakini sisi watumishi wa vyeti original hatukuwa na shida naye kabisa.
Matusi ndo legacy aliyokuachieni.Kama mama yako! Mbw mkubwa wewe!
Anaozeana huko Chato na PhD fake yakeDawa yetu? Kwani Yuko wapi saa hii
Hapana we upo jirani na kaburi lenu ChatoNalinda kaburi na mzoga wa Membe. Vipi hapo shoga!!?
Ni kwa kuwa hakulijua hili 'Mwendazake',,,yawezekana lilifanyika 'kimchongo'.Ajira ya 2014 wapo waliopanda 2019 tena mwaka huu 2023 wamepanda tena
Ht sisi pia ni watumishi na tunaeleza ukweli wa madhila tuliyopitiaUsipotoshe bwana, humu watumishi wa umma tupo,tunajua uzur wa JPM
You are wrong very wrong. Kupenda au kutopenda Wafanyakazi haiko kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, kilichomo ni kutetea na kuboresha maslahi yao. Katika muda wa Urais wake Magufuli. Wafanyakazi wamefaidika marudufu mara 4. Kwanza, kima cha chini kilipanda, maana yake TAKE HOME PAY ya kila mtu ilipanda by 26% across the board. Hiyo wewe unaita kupandisha mshahara. Pili, elimu bure. Gharama ya Private schooling Kindergarten ni milioni 3 na darasa la kwanza 1.5m/=. Hii ina maana Mfanyakazi kaokoa shilingi milioni 4.5 kwa kila mtoto, wastani wa Tanzania sensa iliyopita ni watoto wanne. Tatu, huduma zimekuwa bora. Ukienda shule mwalimu yupo, hospital nurse yupo, idara ya pensheni mtumishi yupo wanakuhudumia. Kabla ya Magufuli hapakuwa na discipline kama hiyo. Mwisho, nne, Magufuli kaokoa makanikia yetu na mikataba mibovu ya TTCL tuliyokuwa tupunjwe, tunaibiwa. Yote hii imeongeza huduma.Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja niwaonyeshe Machache,
1. Kupandisha Madaraja , kwa Mfano wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014, haikujulikana ni LINI, wangepanda Madaraja! Imagine Miaka 7, na hatimaye wakaja kupanda mwaka 2021! Baada ya mama kuingia madarakani! Just imagine
2. Nyongeza za kawaida za Kila mwaka ambazo zipo kisheria kabisa yeye alifuta! Tena Bila shaka hakutaka kusikia, haijafahamika mara moja ni kwanini!
3. Kazi maalum kwa walimu Mfano (kusahihisha mitihan ya taifa)
Walimu waliokuwa wakifanya Kazi iyo kabla ya JPM kuingia madarakani, mbali na kwamba walilipwa vizuri pia walikula chakula kizuri, lakini pia waandaaji walifanya kama kuwamotisha walimu kwa kuwapa kama utalii wa ndani, maana yule wa kigoma angeenda Tanga wa Tanga akaenda Tabora huko n.k...
Hii iliwafanya baadhi ya watu kufurahia na angalau kubadilisha mazingira!
Sasa Mzee baba alivyoingia akapiga marufuku akisema wa Tabora abaki Tabora na WA Mwanza abaki mwanza! Hakuishia hapo na malipo akapunguza! Akidai walimu hiyo ni kazi Yao, hivyo ikibidi wasilipwe chochote! Na Sasa kuanzia pale kazi ikawa Haina morali kwani kazi kubwa, malipo kidogo na masimango juu.
Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.
Jpm hatosaulika alisema mtamkumbuka!
Hii je?Ngoja Sukumagang na Mataga waje huku wakiwa wamejawa na jazba, kukutukana na kukuita mpiga dili na mwenye vyeti feki.
Kwamba Magufuli aliongeza mishahara?You are wrong very wrong. Kupenda au kutopenda Wafanyakazi haiko kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, kilichomo ni kutetea na kuboresha maslahi yao. Katika muda wa Urais wake Magufuli. Wafanyakazi wamefaidika marudufu mara 4. Kwanza, kima cha chini kilipanda, maana yake TAKE HOME PAY ya kila mtu ilipanda by 26% across the board. Hiyo wewe unaita kupandisha mshahara. Pili, elimu bure. Gharama ya Private schooling Kindergarten ni milioni 3 na darasa la kwanza 1.5m/=. Hii ina maana Mfanyakazi kaokoa shilingi milioni 4.5 kwa kila mtoto, wastani wa Tanzania sensa iliyopita ni watoto wanne. Tatu, huduma zimekuwa bora. Ukienda shule mwalimu yupo, hospital nurse yupo, idara ya pensheni mtumishi yupo wanakuhudumia. Kabla ya Magufuli hapakuwa na discipline kama hiyo. Mwisho, nne, Magufuli kaokoa makanikia yetu na mikataba mibovu ya TTCL tuliyokuwa tupunjwe, tunaibiwa. Yote hii imeongeza huduma.