Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Halafu namna wanavyoleta sarakasi ndivyo wanavyozidi kujivua nguo na kudharauliwaIli kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.
Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.
Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye vanished uchunguzi mwingine!!
3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.
Jitihada hizi nazo zitafeli....
Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye vanished uchunguzi mwingine!!Ili kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.
Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.
Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye vanished uchunguzi mwingine!!
3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.
Jitihada hizi nazo zitafeli....
Mbaga JrHaina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye vanished uchunguzi mwingine!!
Swali langu ni moja Samia anajua Escalation anayofanya nchiniIli kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.
Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.
Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye vanished uchunguzi mwingine!!
3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.
Jitihada hizi nazo zitafeli....
Report haikukidhi, usitegemee kama hii tume itakidhiIli kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.
Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.
Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye vanished uchunguzi mwingine!!
3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.
Jitihada hizi nazo zitafeli....
Miye nimeshsikataaBila kumtaja aliyetoa order ya shoot to kill, polisi na usalama walioua waandamanaji, IGP, CDF, aliyezima mitandao, Tume ya uchaguzi, ofisi ya usajili, baadhi ya wakuu wa mikoa, wilaya, baadhi ya OCDs na watekelezaji wote, hii tume nayo itakataliwa na jamii.
HachomokiICC wanawavutia kasi tu
The bi+ch continues to kick the can down the road, delusionally believing that the problem will eventually go away or squarely be blamed on someone else (or others)!Ili kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.
Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.
Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye aanzishe uchunguzi mwingine!!
3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.
Jitihada hizi nazo zitafeli....
nonsense 🐒Ili kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.
Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.
Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye aanzishe uchunguzi mwingine!!
3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.
Jitihada hizi nazo zitafeli....
Hatukwepi kitu, but we are trying to show the world that we are doing something, and not necessarily doing the right thingIli kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.
Ni kweli, but not necessarily wakutwe na hatia, Tanzania sheria zetu tunatumia, common law, the standard of proof is very high!, ili mtu akutwe na hatia, it has to be proved beyod reasonable doubt, hakuna mtu anaweza kumtambua ni polisi gani alimuua nani, hivyo wataachiliwa by the beneft og doubt. Labda polisi wenyewe ndio watoe ushahidi nani alimuua nani.Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.
Usiwe na mashaka, be positive.Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.
Muunda tume ndio mhojiwa number 1!,1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
Hii ni tume ya kuchunguza kama kuna jinai, wakikuta jinai, ndipo2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye aanzishe uchunguzi mwingine!!
Hili litafanyika.3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, be optimistic than pessimistJitihada hizi nazo zitafeli....