Kwa ufupi sana, Mtazamo wangu kwa Utawala wa Mama Samia

Kwa ufupi sana, Mtazamo wangu kwa Utawala wa Mama Samia

Hahahaha bwana Jasusi welcome back!

CCM mbele kwa mbele
 
Kwanza huyu mama ni raisi was kuchaguliwa kwa sanduku la kura????...

Kwa mwenendo huu wa kufumbua majembe ya mwendazake asitegemee kupitishwa uchaguzi ujao.

Angewqacha watendaji wote aliowaamini mtangulizi wake ingemoa afadhari ya kufikiriwa Huko mbeleni.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Huyu anakuja kuwa waziri muda si mrefu

Ova
Kabisa, nashangaa wanaoshangulia eti kapotezwa wakati mtu kawekwa kwenye laini ulaji!

Nlichojifunza pia watu wengi wamekuwa brainwashed na yule jamaa wa twiter hivyo hata ku reason tu kwao ni shida
 
Huyu anakuja kuwa waziri muda si mrefu

Ova
Hii cord hata mimi nimedokezwa.
Watu wanahisi chuki walizonazo wao kwenye mioyo yao kwa Bashiru na mama ndo yupo hivyo,Kakurwa hata ubunge asingeteuliwa kama Rais asingemuhitaji kabisa.
Hakuna wa kumzuia mama kupanga safu anayotaka.
 
Kweli mzee huyu ana safari ndefu
Uwazir lazima ataukwa

Ova
 
Kabisa, nashangaa wanaoshangulia eti kapotezwa wakati mtu kawekwa kwenye laini ulaji!

Nlichojifunza pia watu wengi wamekuwa brainwashed na yule jamaa wa twiter hivyo hata ku reason tu kwao ni shida
Kawekwa kwenye pump ya mafuta kabisa
Ili aukwae uwaziri mtaona tu
Ccm hawatupani

Ova
 
Back
Top Bottom