Kwa ufupi sana, Mtazamo wangu kwa Utawala wa Mama Samia

Unaishi zama zipi!?? Mama ndiyo Amiri Jeshi mkuu, ndiye mtu mwenye nguvu kuliko yeyote katika nchi hii. Anaweza kuifumua na kuifuma nchi atakavyo na hata hiyo CCM anaweza kuifanya apendavyo na asiwepo wa kumzuia. Katiba yetu imemfanya Rais kuwa mungu mtu so usitegemee upinzani wowote kwa Mama zaidi tegemea kuwaona hao unaodhani wanaweza kumkwamisha mama wakimsujudia ili mkono uende kinywani.
Tumuache Mama afanye kazi please, huu ni wakati wake.
 
Yerico kama Yerico mkukima wa Bamia umerudi.
 
Sio kwa Bunge utopolo aliloaacha magufuli.
 
Subiri hayo mengine, katibampya kashasema leo msahau kidogo.
 
Ana mhula mmoja tu trust me brother, magiant wa ccm hawawezi kukubali kabisa.


Kwanza tunajuaje kama hawa anaowateua wanamuogopa au watamuogopa?

Just wait and see.



Asipoangalia tu hapa shughuli imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…