Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Uadui na uhasama unaoendelea ndani ya CHADEMA hasa miongoni mwa viongozi waandamizi wa chama hicho, ni hatari kwa afya na uhai wa wanaopigana vita ya maneno na chama chenyewe kwa ujumla.
Ukiwafuatilia vizuri, utangundua ni kama wanaviziana na kutegeana tu kwamba who is to break the line first before the other, ili mnyukano halisi uanze?
Wenye mipango mikakati na maono ya mbali kisiasa na dhidi ya chama chao, wameshaweka mitego ya kuitegua kwenye wakati sahihi, ambao ni kipindi cha kura za maoni na uteuzi.
Na hapo itakua ni zaidi ya earthquake, mtu mzima anakatwa na kuzimwa hadharani na vijana wa mjini kwa kigezo cha uanachama, utii na uzalendo wenye shaka kwa chama na taifa kwa ujumla, dah.
Nini maoni yako dhidi ya mgawanyiko na mpasuko wa wazi uanao jidhihirisha hadharani ndani ya chadeama?
Wanaojihisi hawahitajiki CHADEMA, waondoke sasa hivi kwenye chama hicho au wasubiri kuenguliwa kwa fedheha wakati wa kura za maoni na teuzi za udiwani, ubunge na urais ndani ya chama hicho?
Mungu Ibariki Tanzania