Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gentlemn,Warioba hana lolote yule mzee. Hata Bunda nyumbani kwao walimnyima ubunge akiwa ni Waziri Mkuu wakampa wa NCCR. Ana hasira kwa kuwa familia yake haijapewa ulaji serikalini. 🤣🤣


Kumbe na wewe unakubali kuwa Mama anaenda kumwachia mwingine yete anapumzika?Gentleman,
ni porojo na stori za patapotea za chadema huna haja ya kubabaika na kupata mawenge na uzushi wa wazi kama huo![]()
Makamu wa Kwanza wa RaisUmesikia Warioba Leo mkuu?
Nakukumbusha tu Warioba ni Jaji mstaafu, Waziri mkuu mstaafu na Makamu wa pili wa Rais mstaafu...
Yes ofcouse gentleman,Kumbe na wewe unakubali kuwa Mama anaenda kumwachia mwingine yete anapumzika?

Anapumzika 2025 na kumuachia mwa CCM mwingine, yeye anaenda kupumzika baada ya kufanya vizuri akimalizia kipindi cha mtangulizi wake.Yes ofcouse gentleman,
Dr.Samia Suluhu hassan, kipenzi cha waTanzania atapumzika na kumuachia mwana CCM mwingine aiongoze Tanzanaia kuanzia mapema 2035![]()
relax tu gentleman,Anapumzika 2025 na kumuachia mwa CCM mwingine, yeye anaenda kupumzika baada ya kufanya vizuri akimalizia kipindi cha mtangulizi wake.