Warioba hana lolote yule mzee. Hata Bunda nyumbani kwao walimnyima ubunge akiwa ni Waziri Mkuu wakampa wa NCCR. Ana hasira kwa kuwa familia yake haijapewa ulaji serikalini. 🤣🤣
Yes ofcouse gentleman,
Dr.Samia Suluhu hassan, kipenzi cha waTanzania atapumzika na kumuachia mwana CCM mwingine aiongoze Tanzanaia kuanzia mapema 2035
Yes ofcouse gentleman,
Dr.Samia Suluhu hassan, kipenzi cha waTanzania atapumzika na kumuachia mwana CCM mwingine aiongoze Tanzanaia kuanzia mapema 2035
relax tu gentleman,
huna haja ya kubabaika sana na hilo la CCM chini ya kipenzi and wanananchi wote, kuongoza dola ya Tanzania kwa muda wote ujao, mbona iko wazi sana 🐒