Wewe nipe kazi Don uoneutendajie wakaziMna picha/video za kazi yenu?
Twende shamba Nelly upige picha mwenyewe boss.Hicho kifaa hakipigiki picha??
Acha mambo hayo boss ukachukuwe video tukiwa shamba.🛠️🛠️Bila video tumia mwenyewe
Wachina wangekuwa wabinafsi kama ulivyo wewe, basi mpaka leo nchi yao ingebakia kuwa masikini kama hii ya kwetu. Kwa mfano una vifaa vingapi vya kuweza kung'oa visiki vyote nchi nzima?Ukiwa nauhitaji utanitafuta, zingatia kwamba kifaa ninachotumia kinangoa visiki 30 hadi 40 kwa siku moja
😁Hakuna ugomvi Drkijana kwa hiyo bei nitakupa kisiki tuje kugombana ndugu
Si biasharaAcha mambo hayo boss ukachukuwe video tukiwa shamba.🛠️🛠️
Duh! Yawezekana kweli, kama huyo jamaa asipoonyesha kifaa husika.Hawa nimewasikia sana mtaani si wanatumia majini kung'oa visiki ?
Taarifa zenu ninazo sana