Hujamwelewa mleta mada.....yeye mwenyewe ndo mashine so in short anaomba angalau kibarua cha kung'oa visiki.Hahahhaah wabongo bana, hata km una potential ya kutengeneza bilioni unajibania mwenyewe, naona bado tunajifunza kutangaza biashara yani, tunaamini sana kwenye uchawi, kila kitu lazima tufiche, mteja ndio ambembeleze muuzaji au mtoa huduma kutoa maelezo! 😛
Hapana,Hujamwelewa mleta mada.....yeye mwenyewe ndo mashine so in short anaomba angalau kibarua cha kung'oa visiki.
Ahaa.... maybeHapana,
Vifaa anavyo ila tu akiweka picha watu wataiba idea ndomana anaficha
Nimewahi kusikia kuhusu watu ambao hawana kazi, ila wanapost bidhaa au huduma mitandaoni ili wapigiwe simu za kazi, waonekane wako busy, pia wapate ahueni ya kisaikolojia, ukipiga anakupa sababu ya kuua biashara.
Mimi nahitaji vibarua wa kungoa visiting. Kama una mashine uwe serious vasi. Ungeonesha tu picha hapa ili tukutafute.Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40.
Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana.
Mawasiliano: 0719789087
Nimeshaonyeaha picha mkuuMimi nahitaji vibarua wa kungoa visiting. Kama una mashine uwe serious vasi. Ungeonesha tu picha hapa ili tukutafute.
Unapatikana wapi kiongozi