Kwa uimara na kupata wingi wa sperm

Kwa uimara na kupata wingi wa sperm

Kaka alitumiaje? Je ukilinganisha kabla ya kutumia majani ya mpera na baada ya kutumia nini tofauti yake.

Halafu umesema uimara wa uume na sperms si ni ndiyo?
Kanywe upupu nasikia unasaidia Sana pia
 
tumia uone kama hujatoa debe la sperm
Kumbe Hujui Kuna Tofauti ya Sperm na Fluid za Sperm...

Kuna Mtu Anajaza Kikombe Ukiangalia Kwenye Microscope hakuna Kitu hata kimoja au Kamoja Ila Kamechoka Au Kamekatika Mkia
 
nini dalili za vidonda vya tumbo,naomba kuuliza
 
hayo majani me kwa ufahamu wangu huwa yanafunga cho kubwa balaa nikiwa kijijini kwetu huwa natumia kama dawa ya kuharisha na ninapona sasa ili la sperm duuuuuu aliyefanikiwa atushirikishe
 
Kwa wewe ambae unaona unadanganya, natumaini simu yako au kifaa kilicho kufikisha humu jf kina uwezo mzuri wa kufungua Google.
Hebu fanya zoezi dogo tu nenda u google faida za majani ya mpera ( kwa kiswahili tu )
Simaanishi kwamba naunga mkono kuwa zunaongeza manii.
 
haya maelezo hayajitoshelezi mbona tiririka mkuu
 
Back
Top Bottom