Kwa Ujanja Ujanja huu Simba Mnajiharibia

Hamjielewi nyie,si juzi tu hapa mmelia mgunda awaachie timu yenu?siku mbili tu mmenunua game mmesahau,wacha tuwaone makundi mara hii

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada hana hamu na haya mashambulizi kaikacha thread yake
Kwi kwikwi
Nilikua safarini no escape no surrender,lazima ukweli simba waambiwe japo unauma
Wamezidiwa na azam kwa idara zote na walikuwa wafe 3 au 4 na wao wanajua
Leo hii ubora wa timu ndani ya siku 3 wameutoa wapi kama si figisu?
Na tutawaona makundi safari hii

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Yani braza mishipa inakutoka kabisa na maneno kibao kwasababu ya zile goli tano!!yani unajitoa akili kabisa na kuandika li makala lireefu kwa chuki tu.

Ligi unaongoza wewe makasiriko ya nini,sio kila kitu mkifanye kwa ushabiki Kuna tatizo gani kwenye zile kadi zajana !

Kuna wakati inabidi tuzungumzie football na sio unazi .
 
....Tujiulize Mtibwa wangekua kamili na balance ya mchezo ingekua sawa simba angeshinda mchezo?
Mtu mwenye akili zake angejiuliza, Je, ni kwa nini hawakuwa kamili? Walizuiwa na Simba kuwa kamli? Walizuiwa na TFF kuwa kamili? Sasa kwa nini hwakuwa kamili? Red card na penalty halali ni matokeo ya presha ya mashambulizi. Zaidi ya hapo utahitaji maarifa mengine ya darasani nje ya mpira
 
Nadhani unacho kiandika haba ni ushabiki, Je kadi hizo zilikuwa halali au uonevu, mambo ya Azam yametoka wapi? Tushabikie mpira tuache malumbano, ndio maana nasema hivi hata sakho alitakiwa kad nyekundu!
 
Yaani umeandika kama vile ni wewe pekee uliangalia game ya simba sc vs Mtibwa,sisi wengine hatukutazama kabisa.
 
Kama ni shabiki wa utopolo hapo utapiga kelele mpaka uchoke yaani hawezi elewa maana yeye sio kati ya wale wawili.


Mtu anajaribu kuzungmzia et walikuwa 9, kwamba haitakiwi kabisa watu kupewa kadi nyekundu hata kama mtu atavunjwa kiuno. Wajinga wahivi ni usiongelee football, either mpotezee au muongelee kishabiki kama yeye hapo inakuwa safi.
 
Yakiambiwa ukweli, yanatukana! Yakifungwa, yanalalamika!!
 
boss ivi kweli zile kadi hazikustahili..... je penati ya yanga ilikua sahihi???? sio kwa ubaya lakini huu ni ushabiki maanda.
Unajiuliza Simba mnajitambua kweli?kwanini mnapenda sana msaidiwe na juhudi za nje ya uwanja kuliko kucheza mpira?
 
Hujitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…