Leo kuna tukio nimeshuhudia ndani ya daladala asubuhi, tukio ambalo limenipa tafakari ya kujiuliza kweli hii vita dhidi ya COVID-19 tutaishinda kweli; tuko makini sisi kama wananchi na mamlaka kwa ujumla.
Ni hivi daladala limejaa, abiria Wameshona lakini makonda bado wanataka lipakie abiria. Hapo kweli kuna tahadhari ya hili gonjwa?
Na abiria pasi na uoga bado nao wanataka kupanda basi Hilo lilojaa
Na kwa mamlaka mmetangaza 'level seats' lakini hamna hatua za utekelezaji ni kama hali ni shwari
Je, tutashinda hii vita?