Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Pole sana, napenda kukumbusha kwamba tabia mbaya au nzuri haina umri.
 
Hakika kaka wewe ndio mwenye kosa

Hakika nakuambia ndugu,

Kuna matapeli humu, kuna makahaba humu, kuna vibaka humu,

HOW COULD YOU JUST TRUST SOMEONE SO EASILY??
Red flags aliziona tangu mwanzo, amini hisia zako za mwanzo kabisa.
 
Mkuu; uliwezaje kumuamini mtu ghafla hivo? Tena kwenye biashara ya fedha? Humjui, hakujui na dalili alianza kukuonesha mapema sana na still ulimwamini? Pole kaka.
 
Hakika kaka wewe ndio mwenye kosa

Hakika nakuambia ndugu,

Kuna matapeli humu, kuna makahaba humu, kuna vibaka humu,

HOW COULD YOU JUST TRUST SOMEONE SO EASILY??
KUna mafre manson humu kuna washenzi humu kuna makenge humu , kuna wauwaji humu yaani humu kuna maariooo hadi kerooo wanafanya kazi ila wanaomba wanawake pesa hatarii kaa chonjo na evaredi
 
Mkuu; uliwezaje kumuamini mtu ghafla hivo? Tena kwenye biashara ya fedha? Humjui, hakujui na dalili alianza kukuonesha mapema sana na still ulimwamini? Pole kaka.
Hilo swali ni invalid kwa sasa.Uliza nilimdaka vipi? Yuko wapi kwa sasa?
 
Hakika kaka wewe ndio mwenye kosa

Hakika nakuambia ndugu,

Kuna matapeli humu, kuna makahaba humu, kuna vibaka humu,

HOW COULD YOU JUST TRUST SOMEONE SO EASILY??

Alikuwa anamtumia as a cheap labor, Muulize alikuwa anamlipa kiasi gani? Cheap is always expensive!
 
Mtu kafuta picha zote alafu anakwambia alivamiwa na vibaka?ok umeajiri mtu hana kitambulisho cha nida wa kazi gani?
Natumai umejifunza next time utaacha uzembe
 
Hilo swali ni invalid kwa sasa.Uliza nilimdaka vipi? Yuko wapi kwa sasa?
Tupe majibu mkuu; na kama ulimkamata hongera sana, but bado ni muhimu kua makini, how mtu humjui, mmejuana recently tena mtandaoni halafu ukamwamini haraka hivo na kumuweka kua msimamizi wa fedha? Interesting
 
Yaani mtu tayari alishakula nauli, bado ukamuacha aje na zaidi ukamkabidhi PESA mkononi na simu zenye pesa! Tena ndani ya siku mbili, tena bula kuandikishana wala kuchukua tahadhari yoyote! Nadhani na wewe utakuwa na matatizo pahala
 
Alipanga akaibe kwingine,mchongo ukapangwa kwamba akachukue nauli sehemu,hiyo sehemu ilkkuwa ya mchongo.Alipofika tu akatiwa nguvuni na sisi ndo tukatokea.KIPONDO CHA KUTOSHA NA KUFIKISHWA KITUONI.
Polisi watakula hela yako na huyo jamaa utamfunga Ila hautopata pesa ambayo imeliwa na polisi kwakuwa mtuhumiwa hana ndugu wa kumuokoa

Jaribu kutumia busara kumsamehe na uache karma ifanye Kazi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…