Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Polisi watakula hela yako na huyo jamaa utamfunga Ila hautopata pesa ambayo imeliwa na polisi kwakuwa mtuhumiwa hana ndugu wa kumuokoa

Jaribu kutumia busara kumsamehe na uache karma ifanye Kazi .
Wacha ashupaze Shingo hawajui polisi wa Bongo
 
Mimi nilikuwa natafuta gari ya mkononi Kuna mtu akaja inbox na picha za gari,nikamwambia njoo nayo dar ili tuingalie then tufanye MALIPO ,baadaye akasema gari Haina mafuta ya kutosha kwahyo nitume ela ya mafuta ili aanze safari usiku , tokea nitume Ile ela sijaona gari Wala simu kupatikana Mpka muda huu.
 
Huu mji sio wa kuonea mtu huruma..ni kujifunza tu roho mbaya hata kama hukuwahi kua nayo.
 
Yaani mtu tayari alishakula nauli, bado ukamuacha aje na zaidi ukamkabidhi PESA mkononi na simu zenye pesa! Tena ndani ya siku mbili, tena bula kuandikishana wala kuchukua tahadhari yoyote! Nadhani na wewe utakuwa na matatizo pahala
Huko tulishatoka
 
Lini hiyo?
 
Mkuu, uungwana ndiyo umekuponza.....unamuaminije kijana uliyemuona tu mtandaoni?
 
Mkuu pole sana.
 
😲😲😲
 
Alipanga akaibe kwingine,mchongo ukapangwa kwamba akachukue nauli sehemu,hiyo sehemu ilkkuwa ya mchongo.Alipofika tu akatiwa nguvuni na sisi ndo tukatokea.KIPONDO CHA KUTOSHA NA KUFIKISHWA KITUONI.
Safi sana mkuu matapeli sio viumbe vya kuvichekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…